FinyoHizo nyeusi ni nini
Najipendekeza kumjibia mtoa mada.Hizo nyeusi ni nini
Ahh na ukila una-enjoy kabisa.?Najipendekeza kumjibia mtoa mada.
Hizo zinaitwa pane....Mopane worm...zinaliwa saana Kusini mwa Afrika...
Wanaweza kuweka nyama pembeni wakazila hizi.
Sio kwasababu ya njaa mkuu ni delicacy tu kama ilivyo kumbikumbi,senene noDu! Kabisa???
Tanzania hatujafikia njaa ya kula wadudu kama nchi za West Africa na Jamhuri ya Kidemokrasi ya watu wa Congo... Hiyo hapana aiseee!
Hahahah hii wala haiongezi Power Tila mkuu. Ni msos wa kawaida tu huku kwetuIli kukuteka kisaikolojia watakuambia hiyo mboga ya madudu ya washawasha au katapila ati inaongeza nguvu za kiume!.. ifike mahali tuambiwe tu shetani ni sisi sisi binadamu..😅
Na Pia Kusini mwa Tanzania/ Nyanda za juu kusini na Kanda ya katiNajipendekeza kumjibia mtoa mada.
Hizo zinaitwa pane....Mopane worm...zinaliwa saana Kusini mwa Afrika...
Wanaweza kuweka nyama pembeni wakazila hizi.
Kwenye magome ya motoWapatikana wapi hao funyo?
Em yataje ili nkanunue sokoni nowFindo
Hayo majani ya pembeni sitayataja