Huyu ni muimbaji wa nyimbo za asili kutoka Mbeya. Ana sauti ya kuvutia na muziki mzuri wa asili unaovutia kusikiliza hata kama huelewi anachoimba.
Achaneni na hayo mabongo fleva ,sijui amapiano. Burudani AFCON iwe ni nyimbo za asili za akina Awilo na singeli za maadili.