EACJ: Vyama vya Upinzani vyashinda kesi dhidi ya Tanzania, kuhusu mabadiliko ya Sheria za Vyama vya Siasa

Ungesema ni ajira!
Hawa wanasiasa kwa ujumla wao: CHADEMA, CCM, CUF, TLP, etc wote ni ajira tu! Ukiondoa ruzuku za vyama na kuweka mshahara wa kistaarabu kwa wabunge, tutaona wanavyoachia ngazi. Sasa CHADEMA unayosifu inawezaje kuwa na ruzuku za mabilioni ishindwe hata kuweka gorofa moja kama makao makuu ya kitaifa? Kila siku ni talalila tu! Oooh Mara michango ya ... bhla! bhla!
Hufahamiki unalia au unalalamika
 
Hizi mahakama sina uhakika kama zina maana yeyote katika sheria za ndani ya nchi,sina uhakika kama zinaweza kubadilisha chochote

Haziwezi kubadilisha chochote ila zinaanika udhaifu wa mahakama zetu za ndani. Kwa watendaji wa mahakama wanaojitambua zinapotoka hukumu za aina hiyo, zinawafanya wajione ni jinsi gani wana viwango duni.
 
Mkuu heshima yako!!
Kwakuwa una malengo ya kuwa kiongozi kwa ngazi yoyote ile hasa hizi za kuteuliwa....naomba uitunze heshima yako usiwagawe watanzania baadhi tunakuombea na kukusuppport.

Maana ukiteuliwa utawahudumia hawa hawa unaowakandia hapa....please ruhusu demokrasia hata kwenye chama chako maana kuna baadhi ya wanaccm haturidhishwi na hali halisi ya sasa.

Asante.
Hivi kuteuliwa mwisho umri gani ?
 
Lakini ni mahakama hiihii ilimkuta Mbowe na kesi ya kujibu kwenye ugaidi
Amka wewe bibi ukamwandalie mmeo maji ya kuoga na umpelekee maliwatoni!
Hujasoma yaliyoandikwa unawahi kuhamisha TU humu! Mahakama ya jumuiya ya Afrika mashariki tangu lini ikasikiliza kesi za uhaini? Na hiyo kesi ya uhaini ilipelekwa lini kwenye mahakama ya jumuiya ya Afrika mashariki?
Kama hii tabia ya kuhorojeka humu hutaacha, hakika unakwenda kupewa kitanda hospitali ya mirembe!
 
Kwa vile 2025, Watanzania wazalendo tumeisha amua twende na mgombea mwanamke, nashauri Mama asichoshwe

P

2025 Makonda hafai tena?? Daaah
 
Kwa vile 2025, Watanzania wazalendo tumeisha amua twende na mgombea mwanamke, nashauri Mama asichoshwe

P
Punguza kujipendekeza na kujikomba ndugu njaa Kali! Hivi, ulishawahi kusoma law of unafiki? Haunaga posho zaidi ya lile jicho la "lione hilo linafiki linavyojipendekeza ili lilambe uteuzi"!
Aliyekuambia huyo mwanamke ataishi Hadi mwaka huo wa 2025 ni mwananchi Gani? What if nature ikatake place, utaandikaje Tena?
 
Ama kweli ibilisi joka kuu hii nchi alikuwa ameishaifanya mali yake. Sema alisahau yupo mtengeneza njia pasipo na njia. Hongera Chadema kwa ushindi wenu na Mungu wa Isaka na Yakobo na azidi kuwatangulia katika harakati za kuivusha nchi hii
 
Acha kuwa na roho mbaya ya kimaskini huku ukisingizia nature. Unashindwa hata kuficha unachokiwaza.

Watanzania elimu....elimu....elimu. Ukipata fursa soma.
 
Ushindi mkubwa huu
 
Kwa vile 2025, Watanzania wazalendo tumeisha amua twende na mgombea mwanamke, nashauri Mama asichoshwe

P
Unakera sana we mtu.
 
Acha kuwa na roho mbaya ya kimaskini huku ukisingizia nature. Unashindwa hata kuficha unachokiwaza.

Watanzania elimu....elimu....elimu. Ukipata fursa soma.
Tatizo lako unamchukulia Kila mtu mweñye mtazamo na hoja kinzani na zako hajasoma au ana elimu duni! Elimu uliyonayo wewe inakusaidia Nini! Nikikuambia kuwa ubora wa elimu uliyo nayo unaonekana kwenye makaratasi unayoyaita vyeti utabweka kuliko mbwakoko!
Kazana kujisifu umesoma huku tusiosoma tunakulipa mshahara! Kushindana na nature ni kujidanganya ndugu msomi! Kaa nalo hili litakufaa siku moja!
 
Back
Top Bottom