E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Jaman jaman kuweni na huruma bhasi , eeh wajameni sio vizuri mwenzenu amelia mpaka bhasi duuh mbona mnakuwa hamna ubinadamu jamen kamaliza makanisa yote kuanzia chalinze mpaka daresilama.. Mwanaume mzima katoa michoz oneni huruma jamaan ,,iiiiih sio vizuri kakosa kakubwa hvo ka kuwa na majina mengi ndio mumukalie shingoni eeeh oneni kahuruma..
hata alie sana tunataka vyetii
 
Bashite ana MARINGO, DHARAU, MUONGO, MNAFIKI.Ndiyo maana anachukiwa.
Sahihi mkuu.
The way anavoongoza watu wake unaona anaongoza wa2 kisifa bila hata kuheshimu wafanyakazi wake,mkuu wa mkoa unatangaza hadharani kwamba pale ofcn kwangu nina wafanyakaz zaidi ya 120 lkn wanaojielewa ni wa 4,pale ndo nilipomuona huyu jamaaa ni boya,anatukana mpk wa bunge kumbe yy ndo kilaza
 
Aliwavunjia heshima kama si kuwatukana wafanyakazi wake 116 kwa matamshi yake ya kijingi. Na si hapo tu, amesikika akisema akitaka mtu aondoke kwenye mkoa wake wa dsm , mtu huyo anaondoka mara moja hata na ndala!.

Alimdhalilisha Mh. Kubenea (mb) pale Urafiki Textile kwa kumnyima nafasi ya kuongea, na kuamrisha polisi wamkate. Na zaidi alimpiga mzee Warioba pale ubungo plaza, Daudi Bashite ni hovyo.
 
Huyu jamaa ni hovyo kbs,bado laana ya mzee warioba inamtafuna
 
Taarifa za leo zinasema amekimbilia south Africa kwa likizo ya miezi 2! Hata akae huko mwaka mmoja lazima awajibike kwa kugushi elimu yake.
Halafu mbona likizo nyngi hvo?
Kabla hajaanza ishu ya madawa c alitoka likizo?
 
Habari wakuu

Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.

Amewakosea nini?

Ina maana wewe hujui? Hiyo ni kampeni ya kawaida tu ili aonyeshe vyeti na kama hana basi akubali kushindwa. Pia ni kukumbusha tu sheria ichukue mkondo wake. Mbona hili siyo tatizo mkuu?
 
Ina maana wewe hujui? Hiyo ni kampeni ya kawaida tu ili aonyeshe vyeti na kama hana basi akubali kushindwa. Pia ni kukumbusha tu sheria ichukue mkondo wake. Mbona hili siyo tatizo mkuu?
Halafu Bashite anazingua ujue mana mbeya sasa hivi watoto wanaozaliwa wanaitwa Mwakabashite Mwakavyeti
 
Back
Top Bottom