E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Likizo Miezi miwili,siku sitini,ile mbegu ya mahindi ya muda mfupi atayakupa tayari yashakomaa
Miezi miwili iliyopita alikua likizo,sasa hv tena amepata likizo.
Inakuaje hapo mkuu
 
Kaukimbia mji wake sasa alisema anaweza kumhamisha mtu sasa kahamishwa yeye

Juzi hapa ametoka likizo,sasa hivi tena ana likizo,ameenda kujifungua?
Mana alivokua analia kwa uchungu usikute ndo miezi 9 ishafika
 
Wakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.

Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.

Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.

Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.

Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.

Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.

Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.

Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.

Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.

Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.

Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.
Kwani ameonyesha vyeti mpaka tuseme inatosha? ??
 
Kuna watu walisema jamaa hawezi tokea katika mualiko wa mkutano wa wanawake na imetimia. Hajaonekana kweli
Angeanzaje kwa mfano,kwanza bora hajaenda mana angechukua tension ya mama zetu
 
Juzi hapa ametoka likizo,sasa hivi tena ana likizo,ameenda kujifungua?
Mana alivokua analia kwa uchungu usikute ndo miezi 9 ishafika
Mbona waoga hivi? Makonda anawahenyesha hata akiwa huko? . Jembe letu, RC wa nguvu, akiwa hapa jijini si ndio mtajiharishia kabisa!?!!?
 
Mbona waoga hivi? Makonda anawahenyesha hata akiwa huko? . Jembe letu, RC wa nguvu, akiwa hapa jijini si ndio mtajiharishia kabisa!?!!?
Maza fanta bashite
Akalie na wanawake wenzake huko
 
Habari wakuu

Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.

Amewakosea nini?
Hivi Mwanza wanapatikana??kwa masafa gani msaada pls
 
Mbona waoga hivi? Makonda anawahenyesha hata akiwa huko? . Jembe letu, RC wa nguvu, akiwa hapa jijini si ndio mtajiharishia kabisa!?!!?
Zile mbwembwe zilikua ni za kujihami tu,ukitaka kujua yule jamaa ni bogasi angalia mkoa wake umefeli sana lkn hakuongea chochote mana yy mwenyewe alizungusha.
Eti anashobokea mashine gwajima,sasa amesagwa analia lia hovyo
 
Back
Top Bottom