Gondwe
JF-Expert Member
- May 30, 2014
- 235
- 170
Akili fupi zinaona mwisho sebleniKumpiga warioba
Kutukana watumishi wa umma km yule mama na yule dada alivowaita vichaa
Kughusi vyeti.
Kweli anafanya kazi kwa bidii
Akili fupi zinaona mwisho sebleniKumpiga warioba
Kutukana watumishi wa umma km yule mama na yule dada alivowaita vichaa
Kughusi vyeti.
Kweli anafanya kazi kwa bidii
Hapa sio mahala pake njoo kuleTimu za kubet zinaeleweka leo?
Haya bashiteAkili fupi zinaona mwisho sebleni
Wanaokuunga mkono Mungu awabariki, ila wasiokuunga wasibarikiwe sio??Wakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.
Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.
Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.
Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.
Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.
Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.
Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.
Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.
Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.
Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.
Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.
Taifa la Tz linaangamizwa na vingi; akiwemo adui ujinga(ukigushi vyeti sidhani kama umetoa ujinga au umeuzidisha). ili taifa lisiangamie lazima tupambane na adui ujinga na mzee JPM alishaanza kudili na huyu adui ili tupate wataalam kweli si waliofoji vyeti bali wanaoqualify kwa position watakazopewa.Makonda sio misifa ila anafanyakazi kwa kusaidia taifa lisiangamie
Taifa la Tz linaangamizwa na vingi; akiwemo adui ujinga(ukigushi vyeti sidhani kama umetoa ujinga au umeuzidisha). ili taifa lisiangamie lazima tupambane na adui ujinga na mzee JPM alishaanza kudili na huyu adui ili tupate wataalam kweli si waliofoji vyeti bali wanaoqualify kwa position watakazopewa.

Teh teh teh, huyu jamaa aisee amewashika hatari this time maana mmetumia energies nyingi kufanya demands za vyeti but zote hola, naona mpaka pumzi zimewaishia kabisa, kweli huyu jamaa ni mwamba and now nimemuelewa why alisema majibu yapo humu humu.Haya bashite
Atatunyamazisha endapo atajitokeza hadharani na kukanusha hii skendo km alivofanya Nchemba kipindi kile.
Kama kwel yeye ni kiongozi anayejali kazi yake atafanya hivo,mana kiongozi yyt duniani inapotokea skendo lazima ajitokeze aidha kujisafisha au kuwajibika
Ameziba nafasi ya mtanzania aliyesoma vizuri kwa juhudi zake.Habari wakuu
Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.
Amewakosea nini?
ACHA MATUSI MKUU UNAPATA FAIDA GAN![]()
![]()
Juzi hapa ametoka likizo,sasa hivi tena ana likizo,ameenda kujifungua?
Mana alivokua analia kwa uchungu usikute ndo miezi 9 ishafika