E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Bashite amuombe msamaha mzee warioba, laana ya mzee inamfuata. ila atuwekee vyeti
 
Bashite amuombe msamaha mzee warioba, laana ya mzee inamfuata. ila atuwekee vyeti
Dah kweli kabisa,
utaanzaje kumpiga Warioba kwa mfano,yani inaonyesha jinsi gani jamaa alipiga miswaki tupu
 
Tuta sikia Mengi mwaka huu Kati ya EFM na CLOUD Zote ni Redio kila mmoja inamtu Wake. Yetu masikio napita tu.
 
Wakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.

Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.

Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.

Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.

Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.

Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.

Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.

Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.

Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.

Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.

Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.

Kwanza kabisa haitwi Paul Makonda anaitwa Daudi Bashite cha pili kama utataka lipite hivi hivi bila kuchukuliwa hatua itakuwa ni upendeleo wa hali ya juu sana, je unawazungumziaje wale waliosimamishwa au kuachishwa kazi wengine wakafungwa kisa kufoji vyeti? Nao warudishwe kazini? Sipendi kuona double standards anatuhuma basi sheria ichukue nafasi yake kulia lia hakumsaidii hata kidogo, bado nashindwa kuelewa Ndalichako kawezaje kukaa kimya kuhusu hili jipu na Mkuu wa nchi kakaa kimya pia, Daudi kaonea na kunyanyasa watu sana hivyo naye ni zamu yake kucheza mziki aliouanzisha mwenyewe.
 
Tunataka rais achukue hatua ktk hili
 
Back
Top Bottom