E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Bashite ni kibaka mkubwa, kaiba vyeti vya Paul Christian! Kwani nyie huko kwenu vibaka mnawachekea??

Bashite ni lazima aende jela kwa kufoji vyeti.
[emoji106]
 
Jaman jaman kuweni na huruma bhasi , eeh wajameni sio vizuri mwenzenu amelia mpaka bhasi duuh mbona mnakuwa hamna ubinadamu jamen kamaliza makanisa yote kuanzia chalinze mpaka daresilama.. Mwanaume mzima katoa michoz oneni huruma jamaan ,,iiiiih sio vizuri kakosa kakubwa hvo ka kuwa na majina mengi ndio mumukalie shingoni eeeh oneni kahuruma..
 
Yeye hajawahi kua na huruma na mtu,km angekua na huruma asinge gushi cheti.
Bashite mkubwaa
 
Hata tukiongea 24 hrs kuhusu Makonda hatutaletewa vyakula majumbani mwetu. Mleta mada uko sawa kabisa. Life has to go on, tufanye kazi na tuyaache ya Makonda.
Kajambe ndo urudi huku pumbaaaveeeee hujui Kuna wangapi wanateseka walivokumbwa na sekeseke la vyeti kama bashite halafu yeye anakula raha wenzie wameachishwa kazi... P***Mbavuuuu zako!!!!!!
 
Wale ma engenier ulio wafukuza kazi kwamba ni wazembe na hawana sifa...?

Walioba mtu mzima kama yule ulimpiga makofi ( laana hii ukamuombe radhi )

Atumbuaye wenzie naye atumbuliwe sasa zamuyako imefika
 
Wakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.

Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.

Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.

Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.

Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.

Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.

Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.

Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.

Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.

Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.

Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.
Mmmh bado Huyo hakuna kumsamehe Huyo kafiri
 
Kajambe ndo urudi huku pumbaaaveeeee hujui Kuna wangapi wanateseka walivokumbwa na sekeseke la vyeti kama bashite halafu yeye anakula raha wenzie wameachishwa kazi... P***Mbavuuuu zako!!!!!!
Sahihi mkuu
 
Wale ma engenier ulio wafukuza kazi kwamba ni wazembe na hawana sifa...?

Walioba mtu mzima kama yule ulimpiga makofi ( laana hii ukamuombe radhi )

Atumbuaye wenzie naye atumbuliwe sasa zamuyako imefika
Dawa jamaa ni kutumbuliwa tu
 
Naunga mkono hoja,jamani itoshe sasa hii ni too much! Tukilala Makonda tukiamka Bashite wengine mpaka tunaota tupo koromije! Loh! Emu kuweni na huruma hata kiduchu.
ALivomtukana yule dada kwa kumuita chizi alikua na huruma?
 
Huyu mtoa mada pengine ndiye mmiliki halali wa cheti . Ndio maana anashauri tupotezee hii issue
Labda umeni quote vibaya mkuu,mm cjasema tupotezee hii mada,ingekua ni uwezo wangu ningemtua mwenyewe yule m*f
 
Back
Top Bottom