E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

16097612f5f9765f2b95f2fcd4b64c94.jpg
 
Kazungumza nawandishi wahabali kuhusu kakaake kwanini anamuo ngelea mabaya mkuu wa mkowa Paul makonda kama alikuwa anajuwa tokea mwanzo kuwa Paul makonda ana vyet feki kwanini hakusema tokea mwanzo baada ya kutajwa kwenye sakata la madawa ndo akasema kwahiyo mdogo wake anasema kuwa n.gwajima apuuziwe
 
MTU mwenye uzalendo na nchi yake hawezi kufatilia maswala ya vyet tunaa ngali kazi tu
 
Dah sisi hatujui hilo km anataka amalize mjadala aweke vyeti
 
MTU mwenye uzalendo na nchi yake hawezi kufatilia maswala ya vyet tunaa ngali kazi tu
Unajua siyo kwamba watu hawagushi vyeti,tena wapo wengi sana sema wapo kimya ndo mana hawafatiliwi,sasa huyu bashite amekua na misifa sana ndo mana watu wamemtolea uvivu
 
Makonda sio misifa ila anafanyakazi kwa kusaidia taifa lisiangamie
 
Kumpiga warioba
Kutukana watumishi wa umma km yule mama na yule dada alivowaita vichaa
Kughusi vyeti.
Kweli anafanya kazi kwa bidii
 
Back
Top Bottom