E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Kweli mkuu,ila hao efm ni kama wameweka kambi ya vita
Mwambieni uungwana ni vitendo atoe vyeti tu, Umaskini,Mapambano ya nn sijui? kulia n.k havimpi uhalali wa kumiliki vyeti visivyo vyake mi naona hata hiyo kambi wangemwekea mlangoni kwake ili aone kero
 
Hapa nasikiliza efm,bado wanapiga nondo
 
Tunanyumbua na kunyumbilisha
b289f4268b1a8178c5bedfda40735a94.jpg
d47c2db5ca944931f279899133f14ae5.jpg
 
Back
Top Bottom