naskia leo alikua mgeni rasmi siku ya wanawake dunianiClouds mnahangaika sana E FM imewashika pa kutolea haja ndogo Daud Bashite kakimbia mnahangaika acheni kelele leteni muziki
Daudi Bashite kakimbilia Sauzi alikuwa na mabegi saba sio wa kurudi Leo yule tumeshamkosa na mavyeti yake fekinaskia leo alikua mgeni rasmi siku ya wanawake duniani
😀😀😀😀😀😀😀😀Daudi Bashite kakimbilia Sauzi alikuwa na mabegi saba sio wa kurudi Leo yule tumeshamkosa na mavyeti yake feki
Pole sana. Huenda ww ni bashite. Haya bana najua mafisadi siku zote wanalindana.toa wewe hivyo vyeti vya mh.kama unavyo,au ukisikia tu unaamini
Bashite bashite.go makonda go makonda
kaenda kuongeza ujuzi wa kulia kanisaniBashite yupo wapi jamani?Naskia yupo Kwa TB joshua?
Ahahaha unaanzaje kumtekenya alokubebaKuna sehemu umbea haupenyezihahaha..
Sio wanamponda,ila wanampa support,kama ilivyokua kwenye dawa za kulevya,sasa ni zamu ya upande wapili.Bila shaka hiyo ndio radio bora kabisa kwa sasa
Kosa lake ni kama alivyo amua kuipendelea Clouds FM kwa maswala yote ya Chama na Serikali kuliko TBC na UHURU FM ... kibaya zaidi hata shughulu zake binafsiHabari wakuu
Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.
Amewakosea nini?
Naunga mkono hoja,jamani itoshe sasa hii ni too much! Tukilala Makonda tukiamka Bashite wengine mpaka tunaota tupo koromije! Loh! Emu kuweni na huruma hata kiduchu.
