E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Lowsa aliji huzulu kwa mambo yake binafisi2[/QUOTE
Kiongozi mweledi anapokua na kashfa hasubiri kutumbuliwa,anaachia ngazi mwenyewe.
Tatizo huyu bashite alilewa sana sifa za madaraka na kujiona yeye ndo kila kitu,sijua angekua rais ingekuaje
 
Habari wakuu

Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.

Amewakosea nini?
Asa wataachaje kukomalia wakati makonda alimuweka ndani majizo mwenye iyo radio
 
Asa wataachaje kukomalia wakati makonda alimuweka ndani majizo mwenye iyo radio
Yani hapa town ukitaka kwenda sauzi bila kupenda anzisha ligi na Gwajima + E FM
Hawa jamaa wanakupoteza
 
Na mh nape kawapa nguvu zaidi Leo naona sasa mashambulizi yatazidi
 
Na mh nape kawapa nguvu zaidi Leo naona sasa mashambulizi yatazidi
Mziki mneneeeeee
Funga mkanda,pasua anga,ama ufate nyayo uwe Bashitee
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Wakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.

Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.

Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.

Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.

Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.

Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.

Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.

Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.

Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.

Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.

Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.
Hata kwa manji atubu brother your not serious
 
Back
Top Bottom