E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

huwezi ukawa kiongozi kila unachoombwa na wajinga utoe,ina maana hata ukiambiwa unakibamia wewe utavua ili uthibitishe!!!!!!!!!!!!!!!
Kumbuka watu waliachishwa kazi na wengine wapo jera ninavyoandika huu ujumbe. Hakuna cha blah blah hapo. Hak itendeke kwa wote
Pole sana, ndoto yako ya uraisi imekufa mtumia vyeti vya watu. NAJUA WAHALIFU WENZAKO WATAKULINDA TU NA HIYO NDIYO KAWAIDA YENU
NA SISI WANANCHI HATUTAKUTAMBUA KAMA MKUU WETU WA MKOA WA DSM. Hatuwezi kuongozwa na mhalifu bora ungetumia vyeti vyako vya 0 hapo ingekuwa hakuna tatizo. Tunacholalamikia kwann ww mhalifu wa vyeti ubakizwe wakati wenzako wametumuliwa?ww ni nani? DAWA NI KUKOKUTAMBUA TU KM MKUU WA MKOA
 
dawa imeingia safi sana keep it up wazee wa visingeli
 
Kama watetezi wa Daudi ndio aina hii basi hawezi kusalimika
 
kuna redio flan,inajihusisha mno katika hili sakata la Mh.mkuu wa mkoa,kwa kumkejeli na kumponda,hii yote ni kutokana na vitu flan flan eti mabosi zao wapo ndani kwa inshu za dawa za kulevya,hii inakufanya wewe mtangazaji kujiingiza kwenye vitu vinavyomhusu bosi wako.ushauri wangu wewe mtangazaji nenda kazini kafanye kazi na si vinginevyo,achana kujiingiza kwenye mambo yasiyokuhusu,kama unataka kutangaza inshu hizo balance habari yako.
Mi najiuliza tu siku kibarua kikiota nyasi itakuaje? Nakumbuka kuna kipindi jide ana bifu na clouds, akina geah na dina marios walikua wakimponda jide, sasa hivi dina hana kazi clouds matokeo yake kaenda kukutana na jide efm, nawashauri tu watangazaji waendelee kutangaza bifu za maboss wao waachie wenyewe maana itawacost
 
Na kuna nyingine inamlamba matako na kumsupport upuuzi wake kila mtu afanye atakalo wacha kuwapangia!!!
 
Kumbuka watu waliachishwa kazi na wengine wapo jera ninavyoandika huu ujumbe. Hakuna cha blah blah hapo. Hak itendeke kwa wote
Pole sana, ndoto yako ya uraisi imekufa mtumia vyeti vya watu. NAJUA WAHALIFU WENZAKO WATAKULINDA TU NA HIYO NDIYO KAWAIDA YENU
NA SISI WANANCHI HATUTAKUTAMBUA KAMA MKUU WETU WA MKOA WA DSM. Hatuwezi kuongozwa na mhalifu bora ungetumia vyeti vyako vya 0 hapo ingekuwa hakuna tatizo. Tunacholalamikia kwann ww mhalifu wa vyeti ubakizwe wakati wenzako wametumuliwa?ww ni nani? DAWA NI KUKOKUTAMBUA TU KM MKUU WA MKOA
toa wewe hivyo vyeti vya mh.kama unavyo,au ukisikia tu unaamini
 
kuna redio flan,inajihusisha mno katika hili sakata la Mh.mkuu wa mkoa,kwa kumkejeli na kumponda,hii yote ni kutokana na vitu flan flan eti mabosi zao wapo ndani kwa inshu za dawa za kulevya,hii inakufanya wewe mtangazaji kujiingiza kwenye vitu vinavyomhusu bosi wako.ushauri wangu wewe mtangazaji nenda kazini kafanye kazi na si vinginevyo,achana kujiingiza kwenye mambo yasiyokuhusu,kama unataka kutangaza inshu hizo balance habari yako.
Una balance vipi habari bila vyeti? ukizoe kusifiwa kaz kweli kweli
 
unataka Radio zote zimpigie magoti munguwadar! hayo mambo wanayaweza akina kaoge, wewe na mashoga wenzake waliomwagia maji kihiyo ktk besdei yake! ndege wa rangi moja...!
 
Clouds mnahangaika sana E FM imewashika pa kutolea haja ndogo Daud Bashite kakimbia mnahangaika acheni kelele leteni muziki
 
Back
Top Bottom