E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Nauliza vya Mbowe kesha viweka Kwa hewa? Wewe hushangai yeye Kwanini halivalii njuga hili swala
Nenda kwa cv yake,karbu wabunge wengi huanika cv zao!!....jarb huko,
+mbowe hajawahi kubadili jina,
+mbowe hajawah kutumia cheti cha mtu,
+mbowe hajawahi kulialia kanisani
+mbowe hajawahi kuwa mkuu wa mkoa wala wilaya,
+Mbowe amechagiliwa na wananchi wakiwa wanamjua vyovyote vile alivyo..
+Mbowe hajazawadiwa cheo/hajateuliwa...sasa mbowe na huo ubashite wapi na wapi?
Kwa bashite mchungu
 
Habari wakuu

Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.

Amewakosea nini?

Bashite ni kibaka mkubwa, kaiba vyeti vya Paul Christian! Kwani nyie huko kwenu vibaka mnawachekea??

Bashite ni lazima aende jela kwa kufoji vyeti.
 
Back
Top Bottom