Huyu jamaa anamtetea sana bashite,sijui ndo yeye?Pole sana. Huenda ww ni bashite. Haya bana najua mafisadi siku zote wanalindana.
KILA KITU KIPO UCHI KWAHIYO HAINA HAJA YA KUFICHA UOVU.
Kolomije wa kijani. Ni kawaida yenu.
HIZO NI SHITUMA KM SHITUMA ZINGINE ZA MADAWA YA KULEVYA. CCM WALIPOKUWA WANASHUKU WATU KUWA WANAUZA NGADA BILA KUWA NA UTHIBISHO MARA MOJA WALIENDA KUMKAMATA LK LEO MAMBO YAMEKUWA UPANDE WAO WANAVUTA SHARUBU TU.
Sina vyeti vya huyo mpuuzi, uchunguzi umefanyika kafoji vyeti.
*mwenyekiti wako kipindi kile alisema atayashughulikia magazeti yanayovumisha kuna njaa, mbona hili amekaa kimya? MBONA WAJACHUKUA HATUA YYTE KUHUSU CYBER CRIME? Mwanahalisi kaandika A-Z about Bashite mbona hawajachukuliwa hatua? Tena kiongozi mkubwa kbsa wa jiji la dar.
Hawa ndiyo vichaa tunaowatafuta wa vyeti feki. Mtambeba tu lkn ss wananch tutamkataa km rc wa dar
Kweli mkuu,ila hao efm ni kama wameweka kambi ya vitaAcha kupotosha na ukome kudanganya umma, sio E-FM vyombo vyote vya Habari vya Tanzania vinamtaka Bashite atoe Vyeti ebu soma makala ya mwanachi ya leo hii hapa Uungwana-ni-vitendo--Makonda-onyesha-vyeti-mambo-yaishe
hujuia laichowakosea au unajilazimisha kutojua?kamdhalilisha mmiliki afu unauliza kamkosea?yan ni sawasawa na ukigombana na mzee meng bhas jiandae kukabili shit za media zake juu yakoHabari wakuu
Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.
Amewakosea nini?
Amemtaja bosi wao kwenye kashfa ya sembe.Mbona haulizi kwa nini clouds wanamlamba miguu bashite?Habari wakuu
Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.
Amewakosea nini?
Mbna clouds wanamtetea nao huwaelewi,wekeni vyeti mezani bado tunahakiki kma vyeti hamna leteni vya clinic vitawasaidiaHabari wakuu
Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.
Amewakosea nini?