E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Habari wakuu

Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.

Amewakosea nini?
Wewe ungependa iweje,uwe badri chanel kama inakuumiza kichwa!!....unakuwa kama mtu mwenye ukimwi asivyopenda kuskia hbr za ukimwi bna!!
 
Habari wakuu

Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.

Amewakosea nini?
Kosa liko wapi?
EFM ni chombo cha habari na lengo kuu kufikisha habari kwa wasikilizaji.
EFM endeleen mpaka kieleweke ni * Daud Albart Bashite au Paul Christian Muyenga/Makonda
 
Back
Top Bottom