E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

kuna redio flan,inajihusisha mno katika hili sakata la Mh.mkuu wa mkoa,kwa kumkejeli na kumponda,hii yote ni kutokana na vitu flan flan eti mabosi zao wapo ndani kwa inshu za dawa za kulevya,hii inakufanya wewe mtangazaji kujiingiza kwenye vitu vinavyomhusu bosi wako.ushauri wangu wewe mtangazaji nenda kazini kafanye kazi na si vinginevyo,achana kujiingiza kwenye mambo yasiyokuhusu,kama unataka kutangaza inshu hizo balance habari yako.
 
Punguza kutumiwa hipo siku utapangishiwa nyumba na kupewa pesa ya vocha
 
kuna redio flan,inajihusisha mno katika hili sakata la Mh.mkuu wa mkoa,kwa kumkejeli na kumponda,hii yote ni kutokana na vitu flan flan eti mabosi zao wapo ndani kwa inshu za dawa za kulevya,hii inakufanya wewe mtangazaji kujiingiza kwenye vitu vinavyomhusu bosi wako.ushauri wangu wewe mtangazaji nenda kazini kafanye kazi na si vinginevyo,achana kujiingiza kwenye mambo yasiyokuhusu,kama unataka kutangaza inshu hizo balance habari yako.

Utakuwa Bashite maana ndo anandoto ya urais 2020
 
Umekurupuka kurupuuuu vyeti ni ishu muhimu sana kwenye Nchi yetu ndio maana vita ya kwanza ilikua kuhakiki vyeti pamoja na wafanyakazi hewa kuondolewa .

Katika vita kama hiyo radio lazima ziwe mstari Wa mbele kupambana vinginevyo haitakua na tija kwa taifa.

Huyo mheshimiwa aweke vyeti hadharani ,na wewe unatetea uhalifu halafu ni great thinker.
 
huwezi ukawa kiongozi kila unachoombwa na wajinga utoe,ina maana hata ukiambiwa unakibamia wewe utavua ili uthibitishe!!!!!!!!!!!!!!!
 
kuna redio flan,inajihusisha mno katika hili sakata la Mh.mkuu wa mkoa,kwa kumkejeli na kumponda,hii yote ni kutokana na vitu flan flan eti mabosi zao wapo ndani kwa inshu za dawa za kulevya,hii inakufanya wewe mtangazaji kujiingiza kwenye vitu vinavyomhusu bosi wako.ushauri wangu wewe mtangazaji nenda kazini kafanye kazi na si vinginevyo,achana kujiingiza kwenye mambo yasiyokuhusu,kama unataka kutangaza inshu hizo balance habari yako.

mkuu jikite kusikiliza Clouds FM wanafanya vice versa
 
leo mnamtetea makonda ila siku akitumbuliwa nq mkuu akaeleza sababu za kumtumbua ....

Mtakuja hapa kumpongeza mkuu wa nchiii
 
Back
Top Bottom