killo
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 401
- 97
Unataka akaonyeshe nini? labda ramani ya Koromije, cheti hana ana leaving tu, masomo yote amepata fafafa zote.
😱😱
Unataka akaonyeshe nini? labda ramani ya Koromije, cheti hana ana leaving tu, masomo yote amepata fafafa zote.
Mbwanyeni mwanawaInaitwa KOROMIJE... Jina la hiki kijiji limetokana na wasukuma kushindwa kutamka jina la mzungu mmoja alikuwa anaitwa Jonathan... Alikuwa na kisima cha maji pale kijijini, kila Wakija kuteka maji asubuhi wanamkuta kalala... Wakawa wanamind na jina likawa linawatatiza... Ndo akawaambia "Call me J" yaani muwe mnaniita J... Wao wakaita KOLOMIJE ikawa ndo jina la kijiji cha kina Bashite
Umeeleweka sana mkuu ila naomba nikukumbushe kuwa kwa imani ya dhehebu analoamini mkuu Bashite ni kuwa kitabu kinacho waongoza kina sema mshahara wa dhambi ni mauti.
Kwahiyo tunachokitaka kwasababu aliwatendea dhambi wengine lazima na yeye apoteee!
Twende kazi Bashite kupona kwako lazima lete vyetiiii.
[emoji26] [emoji26] [emoji26]Si ajabu anavyo kavitunza kabatini na mfukoni kachapika ile mbaya. Unakandia mtu aliyeko field kwa vitendo kisa una makaratasi umeyatunza kabatini!?
Muulize elimu ya Mwenyekiti wake uone atakavyotoa mapovu.
Sana tuUmeeleweka sana mkuu ila naomba nikukumbushe kuwa kwa imani ya dhehebu analoamini mkuu Bashite ni kuwa kitabu kinacho waongoza kina sema mshahara wa dhambi ni mauti.
Kwahiyo tunachokitaka kwasababu aliwatendea dhambi wengine lazima na yeye apoteee!
Twende kazi Bashite kupona kwako lazima lete vyetiiii.