E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

20af328b5d69f0ae62d88269bb05611f.jpg
kiongozi wa wahuni [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Afu ndo alimpiga warioba,dah
Huyu jamaa kwel ni bashite miduara
 
Wakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.

Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.

Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.

Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.

Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.

Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.

Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.

Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.

Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.

Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.

Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.
Anayezungumziwa ni Bashite sio Makonda.
 
Boss wao alitajwa na kweli anauza unga sasa alitaka kwakuwa kituo kilijitoa kutangaza kampeni ya Mti wangu asiguswe..Wanahabari wanafanya kazi ya Ibilisi na ipo siku watajuta
Duh
 
Hata tukiongea 24 hrs kuhusu Makonda hatutaletewa vyakula majumbani mwetu. Mleta mada uko sawa kabisa. Life has to go on, tufanye kazi na tuyaache ya Makonda.
We zombi wewe,utaingizwa mpingo kwa akili zako hizo
 
Naunga mkono hoja,jamani itoshe sasa hii ni too much! Tukilala Makonda tukiamka Bashite wengine mpaka tunaota tupo koromije! Loh! Emu kuweni na huruma hata kiduchu.
Na wale waliotumbuliwa makazini huko kwa mambo hayo hayo huruma yao unayo? Acha kuongea tu kama Huna cha maana piga kimya.
 
Hutaki kuongozwa na kihiyo Mkuu wa Mkoa lakini wakati huo huo unaongozwa na Mwenyekiti Taifa Kihiyo? Sijui aliyewaroga ni nani maana hivi sasa mnaongea kama kuku waliokatwa vichwa.
Hajaiba vyeti na Daudi Bashite bahati yake katukimbia ningemnyonya nnya
 
Juzi pale clouds kile kipindi cha asubui cha jumapili waziri Nape alisema ukipandacho ndo uvunacho huku akipiga gitaa lake
 
Wakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.

Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.

Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.

Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.

Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.

Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.

Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.

Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.

Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.

Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.

Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.
Nawale waliofukuzwa mavyuoni kisa hawana sifa ndoto zikafa kabsa, atokee kilaza mmoja akafoji vyet apewe nyazifa za hali ya juu adhalilishe watu bila huruma kiburi kimjae nabado useme inatosha????? Haiwez kutosha mpaka siku hakiitakapo tendeka nawatu wakiiona kabsa imetendeka hapo ndoitatosha
 
Habari wakuu

Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.

Amewakosea nini?

Hajawakosea kitu. Wao wapo kazini na hawabagui habari. Hawaangalii cheo cha mtu kama Bashite ambavyo alikuwa haangalii majina ya watu.
 
Tatizo alikosea kugusa hii sampuli,
mm nikikupiga unapotea kabisa(Gwajima)
I love Gwajima sooo much
Hana unafki akiamua kuongea hanaga kigugumizi big up postor, tumetulia tunamsubiri Ndalichakoo
 
DAUDI ALBERT BASHITE

[HASHTAG]#WachaManenoWekaVyeti[/HASHTAG]
 
Wakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.

Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.

Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.

Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.

Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.

Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.

Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.

Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.

Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.

Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.

Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.
hata akilia sisi tunataka vyeti na kama alipata zero atamke hadharani ndio tutamsamehe
 
Back
Top Bottom