E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Kuna sehemu uliuza "unasema?"
Anyway. Together we go.
Chukua bashite Moja hapo nakuja kulipa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Take away ya bashite
[emoji15][emoji3] [emoji3]
Cheka kwa dharaaauuuu
 
Habari wakuu

Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.

Amewakosea nini?

Bosi wao Sizya ( kama sijakosea ) nae yalimkuta na kaliwa sana na Mbu wa pale Central hivyo na wao sasa wanakandamizia hapo hapo. Kama noma na iwe noma!
 
Hujui kuwa majizo kasita ndani karibia siku 4 au 5 hivi kwasababu ya mkuu wa mkoa huyu sasa wanafanya ile ya Askofu Gwajima Anayetaka kukumaliza umwahi yeye kabla hajakumaliza
 
Hujui kuwa majizo kasita ndani karibia siku 4 au 5 hivi kwasababu ya mkuu wa mkoa huyu sasa wanafanya ile ya Askofu Gwajima Anayetaka kukumaliza umwahi yeye kabla hajakumaliza
Pigo 1 tu,moja tu yani
 
Back
Top Bottom