E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Ninachokiona kutakuwa na viongozi wengi sana wenye matatizo ya vyeti, kumbe huu ukaguzi ilikuwa special kwa watu wa chini.
Sahihi mkuu,hii kampeni ni maalum kwa ajili yao,watu tuna vyeti vimekaa tu ndani km pambo afu kuna mafa....nta wanakula bata na div bashite zao
 
Unapokubali upinzani alafu utaki kukosolewa maana Yake wewe ni dictator koz umekubal kuwalizisha wazungu moyoni mwako hakuko hivyo mpinzani kwa nchi za Africa anapewa jukum LA kupinga tu so kutawal anaonekana mi mkorofi tu MTU wa uchochez.wamejisahau kuwa wao ndy wanamfany mtawaliw kuwapinga kwa mienedo yao,
 
Wakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.

Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.

Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.

Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.

Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.

Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.

Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.

Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.

Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.

Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.

Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.
Siungi hoja mkono,atudanganye tu kuwa vyeti vilipotea tutamwelewa.
 
Screenshot_2017-03-07-10-56-34.png
poza na ilo
 
Bashite kawa mpole ka maji jeuri yote kumbe hana vyeti kawanyanyasa sana watu wenye vyeti vyao kama wanaishi Burundi leo yamemkuta watu wanasema tupotezee wakati kuna watu wamepoteza maisha kwa kuwa na vyeti feki halau mnanasema tumuache Bashite na nyodo zote zile HAPANA.
 
Kule kwingine watu hawawezi ongea freely kwaajili fulani fulani, na humu pia watu wameficha sura ili upatikane ukweli unataka uambie watu wasiongee... We unamatatiza sio siri. Mawazo yako peleka kwingine na acha wananchi wadai wanachoona ni haki kwao.
 
Back
Top Bottom