E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

aka wana riadha mana kila akikutana na ticha wake au class mate anageuka usain bolt,
Chezea division bashite wewe
Ndio hivyo mkuu BASHITE sio ya kisport sport kbsaa
 
mimi nacheka wanaposoma habri kwenye magazeti inayomuhusu bashite wanavyokazia, mfano juzi kuna gazeti moja liliandika "Makonda apatwa na kwikwi" kitenge ile habari aliirudia kama mara nne hivi...nilicheka sana
Hainaga ushemela hapa
 
Wakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.

Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.

Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.

Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.

Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.

Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.

Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.

Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.

Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.

Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.

Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.
Umesema vizuri sana ila Vyeti sasa ndio alete
 
Hata tukiongea 24 hrs kuhusu Makonda hatutaletewa vyakula majumbani mwetu. Mleta mada uko sawa kabisa. Life has to go on, tufanye kazi na tuyaache ya Makonda.
Kwani unaponunua bundle kuja JF .. Maxence huwa anakuletea chakula kwako? Acha waandike
 
Wakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.

Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.

Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.

Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.

Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.

Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.

Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.

Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.

Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.

Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.

Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.

Kule kwingine watu hawawezi ongea freely kwaajili fulani fulani, na humu pia watu wameficha sura ili upatikane ukweli unataka uambie watu wasiongee... We unamatatiza sio siri. Mawazo yako peleka kwingine na acha wananchi wadai wanachoona ni haki kwao.
 
Naunga mkono hoja,jamani itoshe sasa hii ni too much! Tukilala Makonda tukiamka Bashite wengine mpaka tunaota tupo koromije! Loh! Emu kuweni na huruma hata kiduchu.
unaota mahali husipopajua
 
Apigwee apigweee apigweee tu
 
Kule kwingine watu hawawezi ongea freely kwaajili fulani fulani, na humu pia watu wameficha sura ili upatikane ukweli unataka uambie watu wasiongee... We unamatatiza sio siri. Mawazo yako peleka kwingine na acha wananchi wadai wanachoona ni haki kwao.
Tunahitaji vyeti
 
Naunga mkono hoja,jamani itoshe sasa hii ni too much! Tukilala Makonda tukiamka Bashite wengine mpaka tunaota tupo koromije! Loh! Emu kuweni na huruma hata kiduchu.

Afu hawa mbona kama wametumwa.... The Sympathy trick naona imefanya kazi..
 
Back
Top Bottom