E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Njia/mbinu mojawapo ya kumshinda adui ni kuwa kinyume nae!.......E Fm wanataka kuwa kinyume na ile radio/tv ya mheshimiwa(cloud)!
 
Hatari sana mkuu nakumbuka kuna bro angu wale waliopata division BASHITE alkua anawaita "Watoka NDUKI" . Brother bana

aka wana riadha mana kila akikutana na ticha wake au class mate anageuka usain bolt,
Chezea division bashite wewe
 
Habari wakuu

Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.

Amewakosea nini?
Si ni kama Clouds na Bashite walivyo conspire kumkomalia CEO wa EFM
 
Njia/mbinu mojawapo ya kumshinda adui ni kuwa kinyume nae!.......E Fm wanataka kuwa kinyume na ile radio/tv ya mheshimiwa(cloud)!
Jamaa wamekomalia ujue,yani km MSN + BBC
Unafikiri ataacha kwenda sauzi
 
Back
Top Bottom