E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Wakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.

Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.

Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.

Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.

Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.

Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.

Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.

Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.

Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.

Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.

Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.
Hayo machozi siyo ya kuomba msamaha ni machozi ya kubembeleza huruma ya hivi hivi!
Anatakiwa aombe radhi kwa udanganyifu wa kutumia chetu cha mwingine akiwa mbele ya vyombo vya habari mubashara!
Kisha akubali kuwajjbika kwa kurudisha mishahara na posho zote alizopata katika utumishi wa umma maana alifika hapo kwa ngazi ya udanganyifu wa kitaaluma
Na mwisho ajisalimishe central mwenyewe kuhusu jinai ya kutumia cheti cha mwingine!
 
Kuna sehemu uliuza "unasema?"
Anyway. Together we go.
Chukua bashite Moja hapo nakuja kulipa
2e86d88da41845bf8b9f92f2206ebd2b.jpg
 
Unapowatumbua wenzako iko Siku utajitumbua mwenyewe......

Ova
 
Habari wakuu

Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.

Amewakosea nini?
wanatakiwa wafungiwe haraka iezekananvyo, jana wameshinda wakipiga majungu..
kwani boss wao ndo nani asitajwe??
 
Back
Top Bottom