E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Tena mkuu yule kiumbe anajua kweli kuwateka wakubwa yani, sijui hata anawapaga nini. Inasemakana wengine mpaka wanafkia hatua ya kumpenda "0" kuliko hata watoto wao
Dah
Marehemu mzee sitta angekuepo asingemuelewa bashite maduara
 
Hilo suala la Makonda limebeba uzito mkubwa sana katika hatma ya uchaguzi Mkuu unaofuata.
Mheshimiwa Rais watu wanakuangalia na kukungojea kwa hamu.

Kwako Ndugu Makonda.
Kaka jifunze kuishi na watu kwa wema hasa ukijua na Wewe una madudu yako. Kinachowapa watu mukanri ya kukuponda ni tabia zako za kutoheshimu watu na kukosa busara. Kuwaita watumishi wa umma matahira, vichaa na wapumbavu hayakupendeza watu.

Ukiwa kiongozi cha kwanza omba HEKIMA.
 
Amen!!!
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Alizungusha yani,aliga fafa zote yani
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hatari sana mkuu nakumbuka kuna bro angu wale waliopata division BASHITE alkua anawaita "Watoka NDUKI"[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] . Brother bana [emoji4] [emoji4]
 
Hilo suala la Makonda limebeba uzito mkubwa sana katika hatma ya uchaguzi Mkuu unaofuata.
Mheshimiwa Rais watu wanakuangalia na kukungojea kwa hamu.

Kwako Ndugu Makonda.
Kaka jifunze kuishi na watu kwa wema hasa ukijua na Wewe una madudu yako. Kinachowapa watu mukanri ya kukuponda ni tabia zako za kutoheshimu watu na kukosa busara. Kuwaita watumishi wa umma matahira, vichaa na wapumbavu hayakupendeza watu.

Ukiwa kiongozi cha kwanza omba HEKIMA.
Hawezi kukuelewa
 
Mimi sioni kosa la Makonda, apeleke cheti(index number) chake utumishi kama walivyofanya watumishi wengine. Mbona wao hawakulia?
 
Back
Top Bottom