Manji alilia na bado hatua kachukuliwaWakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.
Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.
Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.
Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.
Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.
Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.
Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.
Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.
Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.
Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.
Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.
Si anatoka mkoa mmoja na mkuuSijakuelewa mkuu,fafanua kidogo
Inajenga taswira gani kwa mkoa km dsm kuendeshwa na mtu aliyegushi vyeti?Manji alilia na bado hatua kachukuliwa
Wema alilia bado hatua kachukuliwa
Hao ni baadhi tu!
Suala ni vyeti ili Tanzania ijue anastahili kuendelea hapo au hastahili?????
Hatuwezi kuendesha nchi kwa vichwa vya ujanja ujanja!
BonyezaToba ya kweli ni kutubu na kuacha asijiite paul ajiite bshite tutajua ametubu kweli.Nataka kujiunga na ccm nabonyeza namba ngapingapi?
ndo hapo,ila naamini mkuu atatenda haki maana hanaga mswalie mtume yuleKumbe ndo maana,dah hivi muvi kali sana mana kubwa la maadi ni mtoto kipenzi wa starring
Unamaanisha kuomba vyeti vya daudi Albert Bashite italeta vita au????Mkuu anything too much is harmful.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Yanga na mtibwa jana wametoka bashite bashite uko morogoro
Wakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.
Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.
Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.
Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.
Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.
Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.
Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.
Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.
Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.
Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.
Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.
Amewakosea nini[/QUOTE
Kasema uongo.
Hutaki kuongozwa na kihiyo Mkuu wa Mkoa lakini wakati huo huo unaongozwa na Mwenyekiti Taifa Kihiyo? Sijui aliyewaroga ni nani maana hivi sasa mnaongea kama kuku waliokatwa vichwa.Anashinda makanisani anasumbua watu wanamuombea Paul Makonda kumbe yeye ni Daud Bashite. Dar hatuwezi kuongozwa na KIHIYO aoneshe vyeti yaishe sio analeta sarakasi
MabashiteUkiongozwa na bashite na wewe utakua bashite.clouds nao ni [emoji12] [emoji12] [emoji12]