E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

Mbona huulizi clouds kihere here chote cha kuomba ufafanuzi kutoka kwa mkuu wa mkoa kimewaisha!
Hata kudodosa hawataki
Unafiki umewaumbua. Kusema wanashindwa, matokeo yake watu wanakiona ni kituo cha redio kinachokumbatia wahalifu
 
Unafiki umewaumbua. Kusema wanashindwa, matokeo yake watu wanakiona ni kituo cha redio kinachokumbatia wahalifu
Yani hadi frequency zao hapa dsm nishazisahau.
Niko mziki mneneeeee [emoji123] [emoji123]
 
Mimi ninavyo jua kama yule kiumbe angekuwa na vyeti Orijinali mbona angesha wachoma watu sentro kitambo. Sasa kafoji vyeti mimachozi hiyo.
 
Back
Top Bottom