Ukiona hivyo ujue ni Unga men.Redio hiyo imetokea huko huko.Habari wakuu
Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite.
Amewakosea nini?
Ukitumbua tumbua ovyo kutafuta kiki inafika muda unakuta jipu limeota kwa kipenzi chako na unamuhurumia kwa yale maumivu atakayo yapata. Ndo maana kimya labda.Afu mbona Mr.Majipu yupo kimya?
Pole.Fafanua mkuu,wengine vichwa vyetu vigumu kuelewa
Inabidi hicho kijiji kiingizwe katika vivutio vya utaliii vya hapa bongoNatamani kupajua aisee... Walau nipate kaselfi
kwani Mungu anasupport walaghai?Hivyo vyeti vya kuonyesha hana! Ni rahisi kwake kulia kanisani kuliko kuonyesha cheti!
hawezi kabisa mkuuAtaanzaje kwa mfano
Nani kakwambia watu hawafanyi kazi????Hata tukiongea 24 hrs kuhusu Makonda hatutaletewa vyakula majumbani mwetu. Mleta mada uko sawa kabisa. Life has to go on, tufanye kazi na tuyaache ya Makonda.
lakini kumbuka kuwa ni mkoa mmoja na mkuuHuyu jamaa lazima apigwe [emoji107]