E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

c8fa568b82ed25584ec2368cde91b5ba_save-to-a-lightbox-crocodile-tears-clipart_1149-1600.jpeg
 
haya mamabo ya vyeti yalianza kama utani vile,nakumbuka yule mama afsa ardhi wa kinonondoni alivyo itwa kua ni kichaa hadharani na mungu wa daa ambae pamoja na nguvu za ki uungu alizojipa ameshindwa kweli kumaliza swala dogo kama hili.au sio mungu wa daa kama alivyo tuaminisha?,

AJIKWEZAE ATASHUSHWA.hii ni kanuni ya ki biblia
 
Yanga na mtibwa jana wametoka bashite bashite uko morogoro
Mshapata msamiati mpya ee! Yanga na Mtibwa wametoka bashite bashite [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tatizo brand.

Nafikiri muda mwingine anatamani siku zirudi nyuma ila ndio basi tena. Uongozi wataka hekima na busara sana
 
haya mamabo ya vyeti yalianza kama utani vile,nakumbuka yule mama afsa ardhi wa kinonondoni alivyo itwa kua ni kichaa hadharani na mungu wa daa ambae pamoja na nguvu za ki uungu alizojipa ameshindwa kweli kumaliza swala dogo kama hili.au sio mungu wa daa kama alivyo tuaminisha?,

AJIKWEZAE ATASHUSHWA.hii ni kanuni ya ki biblia
Kweli kabisa,aljikweza sasa amekua mdg km sisimizi
 
Watanzania mliopo South Africa mwendelee kutupa ubuyu wa Bashite huko alipokimbilia, tena huko hayupo Kamanda Siro wa kumlinda , huko yupo sawa tu watz wanaouza matikiti barabarani au waganga wa kienyeji wa Nigeria
 
Tatizo brand.

Nafikiri muda mwingine anatamani siku zirudi nyuma ila ndio basi tena. Uongozi wataka hekima na busara sana
Uongozi siyo sifa,ushabiki na kuona unaowaongoza ni vilaza
 
Watanzania mliopo South Africa mwendelee kutupa ubuyu wa Bashite huko alipokimbilia, tena huko hayupo Kamanda Siro wa kumlinda , huko yupo sawa tu watz wanaouza matikiti barabarani au waganga wa kienyeji wa Nigeria
Ha ha ha
Afu huko bondeni kafata nini?
 
bado haijatosha ,alikwambia katubu nani?mbona pale kanisani bado alikuwa anaongea nyodo
Wakuu tumejadiri mengi kuhusu mheshimiwa huyo, binafsi naona itoshe sasa.

Tuseme imetosha kwa sababu yale machozi ya jana ni kauli ya kuomba msamaha kwa namna moja au nyingine.

Ukiona mwanaume aliyekuwa jasiri na mwenyewe nyodo na majibu ya fedheha na kudharirisha analia , tena analia mbele za watu ujue amejutia makosa yake.

Naomba tuachane na habari za Makonda kama Makonda. Tuendelee na mengine, jamani ameshajifunza somo kubwa sana ninaamini atabadirika sana.

Nawe Bwana Paulo Makonda Maumivu uliyoyapata kwa tukio hili ndiyo waliopata wale ulikuwa unawatukana na kuwadharirisha mbele ya kamera, Mungu amekuonjesha sehemu ndogo sana, acha kutukana na kudharirisha watu.

Nilikwambia siku moja kama unakumbuka kuwa cheo ni dhamana.

Familia ya marehem Kabwe inakutazama kama wewe ndiyo sababisho la yote yaliyomtokea baba yule.

Acha uongozi wa mihemko, tubu kwa wote uliowadharirisha, akiwemo ,manji, mbowe, Gwajima , wema na wengine.

Narudia kuwasihi tena wanajf wenzangu itoshe kuhusu huyu mtu jamani.

Wanaoniunga mkono kwa hili Mungu awabariki sana.

Msiyoniunga mkono niwaombe mjaribu kuvaa uhusika japo kwa dakika moja. Najua mkisha uvaa uhusika kwa dakika moja mtanielewa na kuniunga mkono.
Asanteni.
 
Mshapata msamiati mpya ee! Yanga na Mtibwa wametoka bashite bashite [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom