Dushelele Lake, Linanitia Hofu...

Dushelele Lake, Linanitia Hofu...

Naomba tu nicheke maana kumbe tatizo liko serious hivyo hadi kila mwezi unafanya vipimo,kwa nini msimwone daktari?maana huo ukuaji hadi mwakani sijui litakuwa limefikia wapi

Aisee, Ww Acha tu
 
Sasa utazaaje mtoto kama unaogopa dushelele au unategemea operation ......:love:
 
Nina Mchumba Wangu, nina uhusiano naye takribani mwaka sasa.

Nampenda, na naamini ananipenda(si usemei moyo), kwa kuwa tunaishi kwa maelewano na upendo wa hali y juu.

Mwezi Jana tu, alileta barua ya kishika uchumba hapa kwetu, na imepokelewa vizuri, lakini bado haijajibiwa.

Na Mtu anaye kwamisha kujibiwa kwa barua hiyo ni mimi mwenyewe.
Natamani nitoe jibu la NDIYO, lakini napata hofu juu ya hatma ya ndoa yangu.

Kiukweli, Dushelele la bwana huyo, huwa nalihisi linaongezeka ukubwa kila kukicha, mwanzoni wakati tunaanza nilikuwa naona tuna match kwenye papuchi zetu.

Lakini Kadri Siku Zinavyo songo mbele, naona dushelele lake linazidi kukuwa, kiasi ambacho naanza kusikia maumivu wakati wa mechi.

Nimejaribu Kumuuliza, labda kama ametumia dawa, lakini amekataa, na kudai hata yeye mwenyewe hajui kwanini hali iko hivyo.

Sasa Niko Njia Panda, Najiuliza Nikikubali Kuolewa Nae, Huko Kwenye Ndoa Mambo Yatakuwaje?

Na kama nikikataa, je nitawapa sababu gani wazaz wangu???

Ndoa Naitaka, Lakini Mmmhh...?!!

NDIO MAANA MKAAMBIWA MSIGONGWE AMA KUGONGA KABLA YA NDOA!! JE UMEONA MATOKEO? Pole sana wewe kubali tu,mpe semina akuandae kwanza sana tu kabala hajakudandia!
 
mimi kwa mtazamo wangu sioni sababu ya kumwacha, anapita mtoto sembuse dushelele!!!cha maana ni kutafuta sababu kwa nini linaongezeka kila siku yasije yakawa matatizo mengine ila usimuache, a lot of foreplay and mkiongeza na lubrication utakuwa fine ona wenzako wanavyolalamika na vibamia shostii...
 
Mwaka umekatika unalikatikia, leo ndio uone kuwa limekuwa kubwa, mwambie alipeleke SIDO likachongwe! ama la una pepo.
 
Papuchi yakike huwa inaongezeka pia siku zinavyokwenda kwahyo usiogope!chamuhmu mfanye kwa siku hata mara 3 ili yako nayo iwekubwa

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums



Nahofia Kuwa Papuchi Haikui Bali Ni Elastic(inavutika), lakini lile dude linaongezeka urefu na upana.

KUNA KUZOEA HAPO?
 
Nendeni hospitali mkamuaone daktari pengine kuna shida, why dushelele likue kila siku?
 
Sasa utazaaje mtoto kama unaogopa dushelele au unategemea operation ......:love:



Wapi Nimesema Naogopa Kuzaa?? Kuzaa Kwangu Sio Tatizo, Bali Ukuwaji Wa Dushelele Lake Ndio Hofu Yangu, Jiulize Kama Itaendelea Kukua Kwa Mwaka Mzima, Mambo Yatakuwaje?
 
mnh km mnapimana...wote mamento mnabidi muende mirembe/oops lol kichen party inabidi mfunzwe kushika papuchi zenu kimalavidavi ili kufanya mpate mhemuko wa kuingiliana na mwenzie..............natamani kujua kabila gani wewe..lol itasaidia kutatua malalamishi humu ndani....anaza said of ze coin i think huyo kaka kashatumia madawa ya kurefusha cha kufanya sio kumkimbia....badala ya kuhesabu unene/urefu .....chezea nanii yake kwa mkono au kutumia papuchi yako ukiona limesimama liko hard ndio mruhusu/uingize mwenyewe kny kipochi chako ila km hujatunga umenishangaza hio ya kuhesabiana urefu/unene..wenzenu wanahesabu hela lol:tongue:
 
Teh! Teh! Teh! Teh! kweli penye miti hakuna wajenzi.soma id yangu kwanza hapo juu.
 
isije kuwa unajifanya unavumilia mara kitu kikatokea mdomoni siku moja bure.

Au ipo siku kitu kama hiki kinaweza kutokea lol...

pic390.jpg
 
Nendeni hospitali mkamuaone daktari pengine kuna shida, why dushelele likue kila siku?

Heheh kwani na chenyewe si ni kiungo kama vingine...bi mkubwa anaogopa bure tu wanaume wa hivyo adimu atii!!
 
mwambie pia akutayarishe vya kutosha...huwaga inauma siku za mwanzo...ila yeye sio mind reader mwelezee ukishikwa wapi unagenyeka na km unampenda unatamani awe baba watoto wako,weka haya mawazo ya kumuacha pembeni,unasema yuko frustrated sio kwa dudu kuwa kubwa but FEAR OF LOOSING YOU,,,,cha kufanya usimnag kuwa haijaingia vizuri/hajakufanya ipasavyo .......mpe sifa za uongo ,mkifanya mara nyingi nani yako itazoea inapita mtoto ndio itakuwa dushelele.......

Nimekuelewa, Na Ahsante Pia
 
Wapi Nimesema Naogopa Kuzaa?? Kuzaa Kwangu Sio Tatizo, Bali Ukuwaji Wa Dushelele Lake Ndio Hofu Yangu, Jiulize Kama Itaendelea Kukua Kwa Mwaka Mzima, Mambo Yatakuwaje?

Haya mkatae basi mie nilete barua yangu ya posa MAANA DUSHELELE LANGU LINAPUNGUA KADRI SIKU ZINAVYO YOYOMA .......!:love:
 
Unatakiwa kua mkweli mbele ya jamii yako, waambie Dushelele ya huyo jamaa ni kubwa na kwamba inakumiiza mnapo kua kwenye game, pia unachoogopa zaidi kadri siku zinavyo kwenda ndio linazidi kua kubwa. Au unaonaje>

watamuuliza alijuaje????ataweza kukiri kuwa alikua anamegwa kabla ya ndoa???
 
Kama Uliingia Kichwani Mwangu Vile, Wiki Ijayo Naenda Songea, Ndio Kwa Mashangazi Zangu Walipo.
yuP!
hao ndo watu sahihi wa kuonges nao hili!manake hata kabla ya kwenda kutoa jibu kwa baba
shangazi anatakiwa kumwita mchumba na kumuuliza 'vip maji yaendea kusi au kaskazi"
so mwambia shangazi atajua namna ya kuliweka hili sawa!
saferi njema uniletee masuku na likolo la nyungu au pitiku!
 
Dah,ngoja nipite zangu

Sijui hata nikuambie nini,ya walimwengu ngoja tuwaachie walimwengu,

Wkend Njema dada GRACE KOMBA
 
Nahofia Kuwa Papuchi Haikui Bali Ni Elastic(inavutika), lakini lile dude linaongezeka urefu na upana.

KUNA KUZOEA HAPO?

Utazoea tu bi mkubwa acha uoga...

Uke wa mwanamke una uweza wa kutanuka maradufu...Kitu cha muhimu ni kujifunza kufanya "love making" na si sex...

Nimeshawahi sikia habari nyingi tu hizi za watu wazima kuwaingilia watoto wadogo kabisa, inafika mahali hadi watoto hao wanakuwa na maumbile makubwa wenyewe huwa wanatumia lugha ya staha kuwa "wameharibika"

Mwanamke huwa hakimbii dudu na pesa...mwanamke hukimbia manyanyaso we binti wa Bombimbili...
 
Mwanamke ameumbwa kuweza kulala na kila mwanaume na kila mwanaume aweza kulala na kila mwanamke.

NO MORE NO LESS we toa tu ukikua utazoea na hutaachia aponyoke
 
Baada ya kukusikiliza kwa makini nafikiri tatizo lililopo hapo ni baada ya kuzoeana mmeanza kuparamiana tu badala ya kuandaana vyema mpaka kila mmoja atakapo kuwa tayari kwa tendo.

Jaribuni kufanya hivyo mtaona raha yake mpaka mwenyewe utakuwa unamuomba jamaa badala ya soseji kupotelea yote aingize na mayai pia. Hii ni kwa ajili yako tu, weka mbali na watoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom