Duru za Siasa: Matokeo ya Uchaguzi Marekani | Page 23 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duru za Siasa: Matokeo ya Uchaguzi Marekani

Discussion in 'Great Thinkers' started by Nguruvi3, Nov 7, 2016.

 1. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #1
  Nov 7, 2016
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,219
  Likes Received: 7,338
  Trophy Points: 280
  ELECTION NIGHT IN AMERICA

  Ref: Duru za siasa: Uchaguzi Mkuu USA

  H.CLINTON (DEM) VS D.TRUMP (GOP)

  Wanajamvi
  Miaka , miezi, siku na ni masaa machache tu uchaguzi wa Marekani utakamilika.

  Macho ya dunia yapo Marekani kujua nani atakuwa Rais ajaye wa Taifa hilo lenye nguvu

  Uchaguzi wa Marekani unaathari kubwa kwa dunia. Ni taifa lenye nguvu za kiuchumi, kijeshi, kisiasa na kijamii zinazoathiri mataifa mengine. Kwa hali yoyote ni tukio linalogusa dunia

  Hatua zote za uchaguzi zimefanyika na upigaji kura wa awali umeshamalizika

  Kesho ni siku ya kupiga kura ambapo state zilizokuwa na uchaguzi wa awali zitamalizia na zile zinazofanya kea siku moja zitamaliza.

  Itakapofika saa 3.0 usiku saa za Marekani sawa na saa 11 saa za Tanzania vituo vya mashariki vitafungwa. Vituo vya Marekani kati na magharibi vitafunga kwa muda huo kwa nyakati zao

  Kwa kuangalia ramani ya uchaguzi na umuhimu wa Mjaimbo, matokeo yanaweza kukamilika ikifika saa 4 au 5 za Marekani kama hakutakuwa na tatizo ambazo ni sawa na saa 12 au 1 za Tz

  Uzi huu utakuwa maalumu na endelevu ukiwaletea hali halisi ya matokeo kwa muda (real time)

  Kutakuwa na uchambuzi wa kila tukio linalohusiana na uchaguzi kwa wakati

  Nyote mnakaribishwa na uzi huu utakuwa 'active' kesho Jumanne saa 2 za usiku za Marekani sawa na saa 10 usiku Tz na kuendelea hadi matokeo ya mwisho

  Hadi wakati huo endelea kuwa nasi Duru za siasa: Uchaguzi Mkuu USA

  Kaa mkao wa habari
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #441
  Jan 11, 2017
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  The whole thing has been shot down.

  It was fake news.

  How BuzzFeed crossed the line in publishing salacious ‘dossier’ on Trump
   
 3. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #442
  Jan 11, 2017
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
  Trevor Noah, jana alitabiri kitu gani kingetokea kwenye hii press conference na kila alichotabiri kimetokea utadhani Donald Trump alikuwa anafuata maelekezo yake...very interesting!
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #443
  Jan 11, 2017
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Bottom line ni kwamba uzushi wa jana ni fake news na CNN ndo ilikuwa mstari wa mbele.

  Fake News Network
   
 5. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #444
  Jan 11, 2017
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,219
  Likes Received: 7,338
  Trophy Points: 280
  Hapa kuna mambo kadhaa yanachanganya katika habari nzima

  1. Fake news ina maana hakukuwa na classsied information zenye nyongeza ya kurasa 35?
  2. Kwanini Trump hakujibu moja kwa moja maswali yaliyohusiana na fake news hiyo?
  3. Kwanini Trump anasema katika interview 'I think Russia hacked?
  4. Tillerson naye kasema it was fair to say it was Russia?
  5.Alioulizwa kama atasimama na kukana kuwa si yeye wala timu yake iliyohusika kwanini hakujibu swali hilo? Kama ni fake kwanini asiseme ni fake news
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #445
  Jan 11, 2017
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Duh...mazee....hivi umeangalia hiyo presser kweli?

  Umefuatilia kwa umakini hizo habari za jana zilizodaiwa kuwa zina explosive info on Trump?

  Unajua hizo explosive info ni zipi?

  Umeyasikia mambo ya golden shower?

  Everything was fake yesterday na McCain keshaanza kuji distance nazo na hata FNN nao washaanza kuji distance nazo.

  Shameful
   
 7. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #446
  Jan 11, 2017
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,219
  Likes Received: 7,338
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa nauliza tu, kuna uwezekano habari zingine zikawa zimenipita
  Hata hivyo, ukweli kuhusu fake au real ni suala litakaloendelea kwa muda

  Press nimeifuatilia na nina baadhi ya maswali na majibu nitashea nikiwa na muda
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #447
  Jan 11, 2017
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Got ya.

  Ila ni aibu sana kwa major news organizations ku float rumors na innuendos kama CNN ilivofanya jana.
   
 9. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #448
  Jan 11, 2017
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,219
  Likes Received: 7,338
  Trophy Points: 280
  CNN wanasema wana uhakika na taarifa yao.

  Wao hawaku publish info zao kama buzzfeed walivyofanya na wanasema Trump ana link CNN na Buzz wakati wana taarifa tofuati.

  Naendele kufuatilia hoja. Malalamiko ya Trump ni ku leak kwa info ambazo ni classified
  Katika interview alisema hawezi kuzungumzia classified info hadharani

  Akasema IC ina leak info za 'dossier' . Hapa sijui ni info gani

  Swali langu linabaki pale pale kuwa, je, si kweli kuwa kulikuwa na 35 pg katika ile taarifa aliyopewa?

  Lakini pia anayesema hizo news ni fake ni Trump na Russia ambao ni ''accused''

  With time tutajua nani Mkweli
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #449
  Jan 11, 2017
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  CNN lazima wajitetee.

  Ulidhani watakiri hadharani kuwa wamechemsha?

  Jana walikuwa wanaripoti kuwa eti kuna habari ambayo haijathibitishwa ambayo iko so explosive inayomhusu Trump.

  Kwa maneno mengine walikuwa wanaripoti kuhusu rumors.

  Sasa kwa nini chombo kikubwa cha habari kama hicho kiripoti uwepo wa taarifa ambazo hazina uthibitisho?

  Trump gave it to them today. He cut them down to size.

  Fake News Network [FNN].

  Hata Russia wamekana uwepo wa hiyo dossier....
   
 11. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #450
  Jan 11, 2017
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,219
  Likes Received: 7,338
  Trophy Points: 280
  Hapana NN, usiku mzima baada ya Trump walikuwa wanaeleza nini walichokipata katika fukunyuku zao

  Niliwaona wakisema wazi hawata publish report kwa uamuzi wa bodi yao ya wahariri

  Ndio wao walioeleza mtiririko mzima wa habari ya hacking na ilivyotokea

  Hivyo walitoa habari si kwamba walikuwa na rumors. Habari kuwa authenticated au la ni jambo jingine

  Leo Trump baada ya kumtuhumu hakuwapa nafasi tena kama uliangalia kulikuwa na timbwili

  Hoja kubwa ya Trump ni kuwa hizo ni fake, false news na kwamba IC ime leak info
  Sasa IC inawezaje ku leak false news kwa maana anakataa lakini zilikuwa ndani ya dossier.

  Hivyo CNN wanasimama na habari kuwa kulikuwa na added 35pg katika taarifa

  Trump na Putin hawawezi kusema ni kweli wakiwa wanatuhumiwa

  Tutapata ukweli wa hili suala kama ni uzushi au kuna kitu

  Hakuna anayesema pg35 hazikuwepo, hapa ndipo nauliza, zilikuwepo hazikuwepo?
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #451
  Jan 11, 2017
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  CNN jana ime float fake news tena sensationally.

  Na leo kimewatokea puani.

  Leo hawairushi tena hiyo habari. Jiulize kwa nini?

  Habari haina mashiko tena kwa sababu ni uzushi tu.

  Ni mwendelezo ule ule wa fake news kama zile habari za Trump kuwasema vibaya Waafrika ambazo almanusra unikabe koo nilipoku challenge kuhusu ukweli wake.....hahahaaa unakumbuka?

  (Reuters) - CNN, the news division of Time Warner Inc, said on Wednesday its decision to publish "carefully sourced reporting" on unverified intelligence documents concerning President-elect Donald Trump is "vastly different than BuzzFeed's decision to publish unsubstantiated memos."

  CNN's statement came after Trump called the news outlet "fake news" and refused to take a CNN reporter's questions at his first formal news conference since his Nov. 8 electoral win.

  BuzzFeed on Tuesday published a story about a dossier of documents it said were unverified and "potentially unverifiable" allegations of contact between Trump aides and Russian operatives.

  Included in the documents were claims that Russian intelligence had compromising information about Trump.

  BuzzFeed CEO Jonah Peretti in a memo to employees on Wednesday defended the decision to publish the dossier, referring to it as a "newsworthy document."


  Throughout the news conference, Trump decried a CNN report on Tuesday that said U.S. intelligence officials had presented Trump with claims that Russian operatives said they had compromising personal and financial information about him.

  Cheki maoni ya baadhi ya watu.....

  • [​IMG]
   The_Enviro_Guy
   2 hours ago
   Spreading UNSUBSTANTIATED reports about anyone especially the President Elect is irresponsible at best and libel at worst. CNN is fake news.


  • [​IMG]
   Mike M
   2 hours ago
   The Clinton News Network is now paying the price for their past actions. Talking and making up trash, just like elections, have consequences.


  • [​IMG]
   Cory
   2 hours ago
   CNN is the epitome of Fake News.


  • [​IMG]
   1975 Tomah
   2 hours ago
   CNN = Fake News


  • [​IMG]
   Mitata
   2 hours ago
   CNN no longer has any credibility. What little the Clinton News Network had after the election is now totally gone.


  • [​IMG]
   NoFreeRideForYou
   2 hours ago
   CNN is an America hating liberal media outlets that employees the same type lying trash!
   Irrelevant Comedy Central Network isn't worthy of press credentials for presidential press conferences!!

  • T
   [​IMG]
   They Believed Gruber
   2 hours ago
   I see the Clinton News Network (CNN) is hard at it!


  • [​IMG]
   Shawn Lee
   2 hours ago
   Show your cards CNN, we are all waiting


  • [​IMG]
   WhoKnows
   2 hours ago
   CNN is just the Democrats in house news channel


  • [​IMG]
   George Norton
   2 hours ago
   about time someone put down our biased main st media lol
   
 13. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #452
  Jan 12, 2017
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,219
  Likes Received: 7,338
  Trophy Points: 280
  Nyani Ngabu

  Kuna mambo mawili sijui kwanini unayachanganya

  Kuna nyaraka ya buzzfeed ambayo si kwamba imetoka jana.
  Imekuwa inazunguka kwa muda sasa. Hawa wali publisha report yao

  Kuna hoja ya CNN, kuna taarifa zinazohusisha watu wa kampeni ya Trump na Russia

  CNN walisema taarifa ya IC iliwasilishwa kukiwa na nyongeza ya summary
  Nyongeza ilimaanisha kiambatanisho kingine kisichohusiana na taarifa kuu

  CNN wakasema taarifa ya IC ikakabidhiwa kwa wote wawili, Trump na Obama

  Katika mkutano wa leo ameulizwa swali kuhusu suala hilo mara mbili.

  Mara ya mwisho mama mmoja alimuuliza kama anaweza kusimama na kusema si yeye wala mtu wa timu yake aliyewasiliana na Russia. Trump hakujibu swali hilo

  Mwandishi wa CNN alipotaka kuuliza Trump alikataa kumsikiliza
  Hii ni kwasababu Trump alishafanya taarifa mbili tofauti kuwa moja hakutaka maswali

  Jioni hii DNI ameongea na Trump na kukana taarifa ya buzzfeed. Hakukan habari ya CNN
  Director akaeleza masikitiko yake kuwa kumekuwa na LEAK ya habari

  Kauli hii aliisema Trump kwamba akiwa na sec bado habari zina leak akihoji IC

  Hakuna surrogate wa Trump anayesema taarifa ya IC haikuwa na nyongeza
  Wote wanasema habari ni fake. Wakiliuzwa ni zipi fake maana zipo mbili, wanasema ni fake

  Wakiulizwa kama hakuna nyongeza wanasema hilo ni suala la IC na classified info, lakini wanaweza kusema habari wasioiona ni fake. Hawakauiona kwasababu ni classified

  Ndiyo maana namuuliza NN mara ya tano, je, hakukuwa na taarifa ya nyongeza ?
  Trump analalamika nini kime leak kama habari zilikuwa fake?

  Kwanini Trump hakujibu maswali ya waandishi wengine waliotaka kujua kuhusu Russia?

  NN hili jambo limegusa hadi IC ndiyo maana DNI amezungumza na Trump.
  Limegusa media kwa ujumla wake. Trump haelewi waandishi wa US si wa nchi masikini

  Trump amekana kwa miaka mingi hatimaye leo kakiri Russia wame hack. Hajifunzi kitu hapo kweli?

  Tuvute subira
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #453
  Jan 12, 2017
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Unasema amekiri kuwa Russia wamedukua?

  Hebu naomba nukuu ya yeye kukiri....
   
 15. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #454
  Jan 12, 2017
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,219
  Likes Received: 7,338
  Trophy Points: 280
  ''As far as hacking I think is Russia and I think others...''
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #455
  Jan 12, 2017
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Is there a difference between 'I think is [it] Russia' and 'it is Russia'?
   
 17. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #456
  Jan 12, 2017
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,219
  Likes Received: 7,338
  Trophy Points: 280
  Literary I don't know, may be I quoted him wrong (+/- t)

  If my memory serves me correctly, he used to say hacking is ridiculous thing.
  At least this time around he came to terms
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #457
  Jan 12, 2017
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  He said he 'thinks' Russia did it.

  And that is very different from 'Russia did it'.
   
 19. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #458
  Jan 12, 2017
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,219
  Likes Received: 7,338
  Trophy Points: 280
  ..with soft tone and humility. Meticulously walking a fine line toward confession
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #459
  Jan 12, 2017
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  It still not an admission...
   
 21. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #460
  Jan 13, 2017
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,219
  Likes Received: 7,338
  Trophy Points: 280
  Je, bado unasimama na kauli hii baada ya VP biden kuthibitisha kuwa ni kweli katika dossier kulikuwa na 2 pg synopsis.
  Wanairusha kwa kiburi sana maana DNI na VP Uncle Joe wamethibitisha kuwa walichosema kilikuwepo kama walivyoripoti
  Habari ya CNN ilikuwa kuhusu habari iliyoongezwa kama synopsis katika dossier ya kwanza.
  Well, ninajiuliza hata kama news ni fake, Trump anapaswa kulalamika?

  Trump ni disingenuous genius,anaeza teka akili za watu na kumwamini hata kama atawaambia Jua hutoka kusini na kuzama magharibi

  Kwanini ni genius
  Baada ya habari kuvuma alijaribu tweets. Haikufanikiwa
  Katika kuhakikisha anachanganya umma, alikusanya habari mbili tofauti kuwa moja

  Habari ya Buzzfeed na CNN.
  Buzzfeed ilikuwa published siku nyingi Washington. Si habari mpya

  Habari ya CNN ilikanusha uhusiano na ile ya Buzz na kwamba hawata publish habari, wala hawatambui uhalali wa habari ya Buzzfeed

  ''Disingenuous''
  Trump akaamua kufanya 'spin' akijua kuunganisha habari hizo kuwa moja na kuonekana ya Buzzfeed kuta discredit CNN. Leo ukweli umetoka kuwa kuna synopsi katika dossier

  CNN walichosema hawana uhakika ilikuwa presented verbally,ukweli, dossier ilikuwa na synopsis.

  DNI amethibitisha habari inayohusu usalama wa Taifa lazima Rais/Rais mteule wataarifiwe. Sasa ni habari gani! hapo ndipo classified info inapoingia

  Nilimuuliza sana Nyani Ngabu kuhusu haya na mara zote hakujibu.

  Niliuliza, je habari ya CNN na Buzzfeed zilikuwa pamoja?
  Je, hakukuwa na nyongeza katika taarifa aliyopewa Obama na Trump?
  News fake za CNN ni zipi?
  Kama ni fake, zipi Trump anazosema zime leak kutoka IC?
  Kwanini leak ya IC iwe mzigo kwa CNN ambao hawaku publish lolote

  Nikamilizia kwa kusema tuvute subira.

  Subira hiyo imeenda mbali kwani James Comey wa FBI alipohojiwa na kamati ya Bunge alisema hataweza kuthibitisha au kukataa sual linalochunguzwa au lisilochunguzwa na FBI.

  Hapo akawa amenasa katika mtego, kwamba kama ni hivyo ilikuwaje akatoa habari za emails za Clinton mwishoni mwa uchaguzi? Uchunguzi umeanza

  Uchunguzi utafuatiliwa kwa ukaribu kutokana na habari zilizofikishwa kwa Obama na Trump

  Wingu la Russia litabaki kuisumbua serikali ya Trump kwa muda mrefu

  Media zinatafuta ni akina nani walihusika kama ilikuwa hacking ya Russia na Trump camp
   
Loading...