Duru za Siasa: Matokeo ya Uchaguzi Marekani

Hicho kibabu kishapitwa na wakati.

Sore loser.
Nyani Ngabu, you may have lived in the US but some of your comments leave me spell-bound, befuddled and perplexed! You write off John Lewis?...kumbuka, mdharau mwiba, mguu huota tende. I wish you knew what's going on behind the scenes. From January 15th, we might witness something that has no precedent in US history. Anyway you are free to come to any conclusions you like. For once people might have to learn the power and effect of popular vote!
 
Nyani Ngabu, you may have lived in the US but some of your comments leave me spell-bound, befuddled and perplexed! You write off John Lewis?...kumbuka, mdharau mwiba, mguu huota tende. I wish you knew what's going on behind the scenes. From January 15th, we might witness something that has no precedent in US history. Anyway you are free to come to any conclusions you like. For once people might have to learn the power and effect of popular vote!
John Lewis is irrelevant. He's still stuck in the 60s.

Come January 20th at 12:00pm EST Donald J. Trump will be the 45th POTUS.

Read and weep....
 
Mimi nilidhani post election crybaby wako katika nchi za Africa pekee kumbe hata Marekani wanapatikana!

Clinton na kundi lake hawaamini kama uchaguzi umeisha na wameshindwa.

Wanatumia mpaka Clinton Network News (CNN) kuokoteza uwongo kuhusu Trump wakidhani atakuwa impeached ili wapate window of opportunity. No chance!

Mbaya zaidi, Obama amewadharau kimantiki pale aliposema kama angegombea na Trump angeshinda. Hii ina maana kuwa kukubalika kwa Clinton kulikuwa chini ya kiwango anachokubalika Obama. Hili ni tusi kwa Clinton!
 
John Lewis: Trump isn't a legitimate president

"You know, I believe in forgiveness. I believe in trying to work with people. It will be hard. It's going to be very difficult. I don't see this president-elect as a legitimate president," Lewis said when asked if he would "forge a relationship" with the president-elect.

When pressed on why he believes Trump's presidency is illegitimate, Lewis pointed to intelligence reports of Russian interference in the election.

"I think the Russians participated in helping this man get elected. And they helped destroy the candidacy of Hillary Clinton," Lewis said.

"I don't plan to attend the inauguration. It will be the first one that I miss since I've been in Congress," Lewis said. "You cannot be at home with something that you feel that is wrong, is not right."

Somebody had to say it and now that somebody has to be Rep. John Lewis (D-Ga.)

Trump won thrice.

Hillary is now the footnote. Forever the candidate who had a 96% chance of victory on election day yet lost.

Let it go Mag3.
 
Najiuliza tu..
Ikiwa Trump anashindana na hata kutofautiana na IC zake sijui atafanya nao kazi vipi?

Tayari inaonekana Kuna kutokuelewana hizi IC. Nashuhudia Mkuu wa FBI na CIA kupinga hadharani madai ya Trump kwa hizi IC.

Embu wafuatiliaji WA historia ya US, Je ilishawahi tokea hii kwa Rais mwingine huko nyuma?
 
Trump won thrice.

Hillary is now the footnote. Forever the candidate who had a 96% chance of victory on election day yet lost.

Let it go Mag3.
This is a vivid example of what I have been talking about, question anything about Trump's blunder and his sycophants jump on Hillary! Here in Tanzania, something similar is happening...try to criticize Magufuli in any way and people like El Jefe find solace by dragging in Lowassa's name.

But folks, trust me, in America things don't work that way! CNN was accused by the president-elect as purveyor of fake news but fought back and now Trump's surrogates are trying their best, as usual, to cover-up their bosses' twitter rants that leave people speechless!
 
Najiuliza tu...
Ikiwa Trump anashindana na hata kutofautiana na IC zake sijui atafanya nao kazi vipi?

Tayari inaonekana Kuna kutokuelewana hizi IC. Nashuhudia Mkuu wa FBI na CIA kupinga hadharani madai ya Trump kwa hizi IC.

Embu wafuatiliaji WA historia ya US, Je ilishawahi tokea hii kwa Rais mwingine huko nyuma?
Mkuu General Mangi, Trump mpaka sasa anaweza kufanya lolote analotaka and get away with it kwa sababu hajaapishwa. Kumbuka aliwahi kudai angeweza kumpiga mtu risasi hadharani na asiwe na hofu ya kupoteza mashabiki wake hata moja.

Trump anaapishwa tarehe 20/1/2017 na kuanzia hapo kila atakachofanya na kila kauli atakalolitoa kitachukuliwa kwa uzito tofauti na sasa. Bado anazo siku chache za ku'twitter' and get away with his rants bila kupoteza kitu.

Yuko Rais moja aliitwa Richard Nixon alionesha umwamba (ingawa si kwa kiasi hiki tunachoshuhudia) kabla ya kuapishwa kuanza kipindi chake cha pili. Lakini baada ya kuapishwa ndio alitambua uzito wa kauli zake pale alipoanza kuwajibishwa.

Wakuu wa IC wanabanwa na Katiba, hawawezi kukubaliana na mambo ambayo yanapingana na sheria na kanuni. Viongozi walioteuliwa na Trump nao hakuna hata moja anathubutu kukubaliana na misimamo inayopingana na Katiba.

Uzuri wa Marekani ni kwamba vikao vyote vinavyoendelea kuwajadili na baadaye kuwapitisha, rekodi zake ziko wazi kwa wananchi wote. Swali ni je baada ya kupitishwa na vyombo husika watakuwa watiifu kwa Trump au Katiba ya Marekani...tusubiri.
 
This is a vivid example of what I have been talking about, question anything about Trump's blunder and his sycophants jump on Hillary! Here in Tanzania, something similar is happening...try to criticize Magufuli in any way and people like El Jefe find solace by dragging in Lowassa's name.

But folks, trust me, in America things don't work that way! CNN was accused by the president-elect as purveyor of fake news but fought back and now Trump's surrogates are trying their best, as usual, to cover-up their bosses' twitter rants that leave people speechless!



:D:D:D
 


Petulant big cry babies...:D:D

Hillary-Clinton-Crying-jordan.jpg
 
This is a vivid example of what I have been talking about, question anything about Trump's blunder and his sycophants jump on Hillary!

That's cynicism, I think no one is gullible enough to believe those unsubstantiated remarks implying that DJT is a Russian stooge!

Congressman John Lewis's statements are more subjective rather than objective and should be ignored. He even embarrassed himself testifying against Sen. Sessions. But, that's what happens when someone doesn't get it especially snowflake liberals.

Sir, when I said Hillary had 96% chance of winning on ELECTION DAY, it is pretty clear the 'hacking effect' had been taken into account, which then nullifies the 'illegitimacy' theory promoted by Rep. Lewis and currently supported by you. So, I think it was fair to bring her up.
Here in Tanzania, something similar is happening...try to criticize Magufuli in any way and people like El Jefe find solace by dragging in Lowassa's name.

"It's easier to blame others than to look inward" Barack Obama (Cairo-Egypt, 2009).

Why would you wanna criticize Pres. Magufuli while you can't take it when the ball switches hands?. I think the upsides and downsides of each leader are worth examining.
But folks, trust me, in America things don't work that way! CNN was accused by the president-elect as purveyor of fake news but fought back and now Trump's surrogates are trying their best, as usual, to cover-up their bosses' twitter rants that leave people speechless!

CNN have sprouted a plethora of fake news out there with regards to this US Pres. election and a lot of people have told them in their eyes. Trump was right to punch them in the nose. Of course, to up their numbers they have to improve the integrity of their journalism.

Mag3, do you just stare at your phone googly eyed on Trump's twitter account only to go on with your cheeseball onslaught? Honestly!
 
Najiuliza tu..
Ikiwa Trump anashindana na hata kutofautiana na IC zake sijui atafanya nao kazi vipi?

Tayari inaonekana Kuna kutokuelewana hizi IC. Nashuhudia Mkuu wa FBI na CIA kupinga hadharani madai ya Trump kwa hizi
Mkuu kama utakumbuka, mabandiko yaliyopita tulizungumzia hili

Tulisema, 'vita' ya Trump na IC itamsumbua sana

Trump na tweets akiaminisha watu Julian Assenge kaeleza kuliko maelezo ya IC
Disparaging IC kulilazimisha IC ku prove him wrong. Unakumbuka tulisema kuna njia nyingi

Ku leak kwa info kuna sababu. Hii ni baada ya Trump kujificha nyuma ya classified information wakati huo huo akituhumu IC. Kwa maneno mengine aliwafunga mikono akiwasema

Na huu ni mwanzo tu, mbele ya safari hata Tax return anayoificha kwa mgongo wa audit itajulikana
Business interest zake zitajulikana kwasababu IC ina information na vita aliyotangaza si njema

Lakini pia si hilo tu, ugomvi na media nao ni tatizo. Baada ya siku 160 za kutokuwa na press conference alipotokea ilikuwa tofauti. In fact media zikiwemo za conservative zimezungumzia hili la Trump

Hii maana yake ni kuwa IC itakuwa na ushirika kama ''victims'' wa Trump, hapo tutasikia mengi

Katika 'international stage' US haitakuwa na influence kwa mambo mazito kama ku rally mataifa mengine. Hivi Trump atasema amepata wapi info ikiwa tayari anaonekana kutoamini IC zake?
 
Mkuu kuna vitu serious lzm tuhoji.
Haiwezekani Mkuu wa CIA amwambie Rais mteule achunge ulimi wake anavyo tweet kwenye tweeter.

Unategemea uhusiano gani hapo?
John Brennan amebakiza siku nne aondoke CIA. Tusubiri Mike Pompeo na wengine kwenye security team ya Trump wachukue nafasi zao then mtaona huo 'uhusiano' unaouzungumzia kama utakuwa mzuri au mbaya.

We just have 4 days to go.
 
John Brennan amebakisha siku nne aondoke CIA. Tusubiri Mike Pompeo na wengine kwenye security team ya Trump wachukue nafasi zao then mtaona huo 'uhusiano' unaouzungumzia kama utakuwa mzuri au mbaya.

We just have 4 days to go.
Okay, John Brenman might have to go after January 20th but how about Trump's cabinet picks whose stand on issues has differed from their master? To name a few; Secretary of Sate Rex Tillerson, Attorney General Jeff Sessions, Secretary of Defence Gen. James Mattis (Ret) and many others. What happens to them after those 4 days? Will they go too unless they toe Trump's line?

The trouble with Trump Surrogates is that while they praise him for speaking his mind, they don't give his opponents the same leeway. For example..when civil rights icon Rep. John Lewis speaks his mind, he is not given the same praise and in stead they brand him a has been. Well, am sorry to for anybody who tries to belittle John Lewis, one can only ignore a legend at one's own peril!
 
The trouble with Trump Surrogates is that while they praise him for speaking his mind, they don't give his opponents the same leeway. For example..when civil rights icon Rep. John Lewis speaks his mind, he is not given the same praise and in stead they brand him a has been.

Calling that little old man Lewis a has been is also speaking one's mind.
 
MFUMO WA UTAWALA WA US

Mfumo wa US umesukwa katika hali ambayo madaraka na maamuzi yamegawanywa kwa mihimili

Rais anajukumu la kuteua baadhi ya watendaji wanaotakiwa kuthibitishwa na Bunge

Hii maana yake ni kuwa wateuliwa baada ya kuthibitishwa, huwajibika maeneo mawili

Hillary Clinton akiwa SoS alihojiwa kwa masaa 11 na kamati ya Bunge
Obama alifahamu hilo ni tatizo, lakini hakuwa na uwezo wa kuzuia waziri wake kuhojiwa

Ndivyo ilivyowahi kutokea kwa wengi tu wakiwemo wakuu wa IC

Hata majenerali huitwa na kuhojiwa bila Rais kuombwa hisani

Comey wa FBI, pamoja na Obama kuona alitenda isivyo kuhusu emails, hakuweza kumuondoa

Itawezekana tu kama kuna jambo serious kutokana na taarifa ya Inspector general.

Na hapo anaweza kupewa shinikizo ajiuzulu na si kumwajibisha

Trump atakuwa na nafasi ya kuchagua viongozi wa IC na kuthibitishwa na Bunge

Ndiyo maana wateuliwa wake kama Tillerson na Sessions wanapitia katika tanuru la Bunge
Na kutokana na hali ilivyo, wanafikia hata kukana kauli za Trump

Wanatambua Trump ana sehemu yake na Bunge lina sehemu yake

Viongozi wa IC waliopo kwa kutambua utata wa suala la hacking na jinsi lilivyoingia katika congress, wameweka rekodi sawa ikiwa ni pamoja na addendum katika classified information

Wakuu wanatambua Bunge likianza uchunguzi hakuna atakayekuwa na nguvu ya kuzuia

Kwa mantiki hiyo, taarifa na mahojiano ya IC na kamati za Bunge zitakuwa na rekodi

Chochote kitakachofanywa lazima kutakuwa na reference.

Hivyo suala la hacking haliwezi kuzuiwa kwa uteuzi wa viongozi wapya wa IC.

Mfumo wa US unafanya kazi kiasi kwamba, hata Raia ana uwezo wa kuhoji
 
Back
Top Bottom