Dunia inazungukaje?

Dunia inazungukaje?

kama inafidisha siku ya kiama na ule mfano wa mawingu kutembea yatatembea ziku ya kiama pia....?

ukisema ndio nakupa aya zinazoonesha ya kuwa mawingu yanatembea hapa hapa duniani.
Angalia muktadha wa aya na mtiririko wake. Usilazimishe maana ya aya kwa mtazamo wako.
 
hatuoni mafungamano yoyote ya aya hiyo na siku ya kiama.
ayaulizotoa kuhus kiyama zinasema vingine kabisa.
Haya mambo yako wazi sana,ndio maana nakuuliza marejeo yako yapo wapi ?

Sasa hilo hulioni wewe,ila wakubwa zetu katika elimu ambao ni warithi wa mitume wamefafanua hivyo.

Na wanazuoni ni warithi wa mitume,sasa wewe ili kauli yako tuijadili,tuambie nani aliye kutangulia katika hilo.

Elimu ni amana,na amana huwa inarejeshwa kwa watu wake.
nimekuuliza ni aya gani ama dalili gani ambayo Allah kajisifia kwa utaalamu wa uumbaji wake alafu iwe inahusu kiyama..?
Hii kauli haibadilishi muktadha wa aya na maana yake.

Ndio nataka uniambie marejeo yako ni wapi,ili tumjadili aliye kutangulia katika hili,yeye alipita mapito gani mpaka kufikia hitimisho hilo.

Kadhia ni rahisi sana.

Nataka,nije nikujibu lile swali lako la kuhusu Wanazuoni ni kina nani.
 
kama hakuna basi ujue hata aya ile pia ya 88 haijagusia siku ya kiama bali nikabla ya kiama.

kiama ni Allah kutoa hukumu na kukamilisha ahadi zake.
Hili nakwambia mara ya tatu au ya pili,acha kuhoji kimantiki,huu ni mtindo dhaifu sana wa kuujua ukweli bali ni mtindo wa kivivu pia,angalia elimu na athari zinasemaje.
 
Dah mkuu ni ngumu sana

Kumwambia mtu ambaye anaamini dunia haizunguki

We si unaamini hivyo

Kisayansi hiyo argument ni ya kitoto sana chief

Yaani ni kama chekechea amwelekeze frm 6 [emoji28][emoji28]
haah

mkuu unaamua kunisusa mazima mkuu..
 
Haya mambo yako wazi sana,ndio maana nakuuliza marejeo yako yapo wapi ?

Sasa hilo hulioni wewe,ila wakubwa zetu katika elimu ambao ni warithi wa mitume wamefafanua hivyo.

Na wanazuoni ni warithi wa mitume,sasa wewe ili kauli yako tuijadili,tuambie nani aliye kutangulia katika hilo.

Elimu ni amana,na amana huwa inarejeshwa kwa watu wake.

Hii kauli haibadilishi muktadha wa aya na maana yake.

Ndio nataka uniambie marejeo yako ni wapi,ili tumjadili aliye kutangulia katika hili,yeye alipita mapito gani mpaka kufikia hitimisho hilo.

Kadhia ni rahisi sana.

Nataka,nije nikujibu lile swali lako la kuhusu Wanazuoni ni kina nani.
yeye Mtume katafsiri vipi hiyo aya..?

na masahaba wakatafsiri vipi...?

unaweza ukanipa tafsiri ya mtume mwenyewe na masahaba japo wawili wakisema kuwa aya inahusu kiama ?

nimekuuliza hayo mawingu yaliyotolewa mfano katika aya ya 88 nayo yatatembea siku ya kiyama..?
 
Hili nakwambia mara ya tatu au ya pili,acha kuhoji kimantiki,huu ni mtindo dhaifu sana wa kuujua ukweli bali ni mtindo wa kivivu pia,angalia elimu na athari zinasemaje.
nimekuuliza ni aya gani ambayo Allah anajisifia uumbaji wake alafu ikawa makusudio ni siku ya kiama...?

ipo hiyo aya..?
 
mwanachuoni aliyenitangulia ni AYA HIYO HIYO YA QURANI.

Sasa huu ni utoto mwingine,na maanisha Qur'aan ni kiumbe au ?

Nani alikwambia Qur'aan ni mwanachuoni ?
kwani nimesema kinyume na QURANI hapo au nimesema kinyume na hao kibaar ulamaa wanavyotafsiri ?
Umesema kinyume na Qur'aan na kwenda kinyume na wakubwa wako katika unri,ubora na maarifa na kheri ipo kwa wakubwa zetu kama alivyo sema Rasul amani ya Allah iwe juu yake.
mimi nimenukuu Qurani na kukuonesha kuwa aya haihusiani na kiyama wewe unaleta kauli za ulamaa zikigegedua kuhusisha aya hizo na siku ya kiama wakati suala la kwenda kwa vitu linafahamika.
Nilichokifanya mimi ndio nimekuonyesha maana ya hakika ya aya na nimegemeza kwa wanazuoni,kwahiyo wewe katika hili huzingatiwi achilia mbali kukosea katika maana.

Sasa labda wewe ni kama nani uzingatiwe hali ya kuwa huna elimu ya Qur'aan na mawanda yake ?

Nakuuliza marejeo yako ni yapi ?

Sababu elimu ya Tafsiri ya Qur'aan huna.
 
Haya mambo yako wazi sana,ndio maana nakuuliza marejeo yako yapo wapi ?

Sasa hilo hulioni wewe,ila wakubwa zetu katika elimu ambao ni warithi wa mitume wamefafanua hivyo.

Na wanazuoni ni warithi wa mitume,sasa wewe ili kauli yako tuijadili,tuambie nani aliye kutangulia katika hilo.

Elimu ni amana,na amana huwa inarejeshwa kwa watu wake.

Hii kauli haibadilishi muktadha wa aya na maana yake.

Ndio nataka uniambie marejeo yako ni wapi,ili tumjadili aliye kutangulia katika hili,yeye alipita mapito gani mpaka kufikia hitimisho hilo.

Kadhia ni rahisi sana.

Nataka,nije nikujibu lile swali lako la kuhusu Wanazuoni ni kina nani.
kwani hao ulamaa waliotafsiri hivyo wamerejea wapi..?

kam unatak marejeo si nimekuambia shekhe abdallah saleh kapita hivyo au hukufahamu ?

unapotaka nikutolee marejeo wakati nilishakupa kwamba alfarsiy kapita hivyo ukasema unaipinga tafsiri yake sasa mimi naikubali tafsiri yake n hayo ndio marejro yangu.

au unataka marejro ambayo unayakubali wewe ?
 
Sasa huu ni utoto mwingine,na maanisha Qur'aan ni kiumbe au ?

Nani alikwambia Qur'aan ni mwanachuoni ?

Umesema kinyume na Qur'aan na kwenda kinyume na wakubwa wako katika unri,ubora na maarifa na kheri ipo kwa wakubwa zetu kama alivyo sema Rasul amani ya Allah iwe juu yake.

Nilichokifanya mimi ndio nimekuonyesha maana ya hakika ya aya na nimegemeza kwa wanazuoni,kwahiyo wewe katika hili huzingatiwi achilia mbali kukosea katika maana.

Sasa labda wewe ni kama nani uzingatiwe hali ya kuwa huna elimu ya Qur'aan na mawanda yake ?

Nakuuliza marejeo yako ni yapi ?

Sababu elimu ya Tafsiri ya Qur'aan huna.
nimekuambi marejeo yangu katika aya hiyo ni tafsiri ya shekh abdallah saleh.

si umetaka marejeo mkuu ?
 
kam unatak marejeo si nimekuambia shekhe abdallah saleh kapita hivyo au hukufahamu ?
Inaonekana una sahau sana,nilikwambiaje huko nyuma kuhusu Shaykh Abdullah Salehe al Farsiy Allah amrehemu ?
unapotaka nikutolee marejeo wakati nilishakupa kwamba alfarsiy kapita hivyo ukasema unaipinga tafsiri yake sasa mimi naikubali tafsiri yake n hayo ndio marejro yangu.
Mimi naikataa hiyo Tafsiri na nilikupa sababu na kukutajia wanazuoni wakubwa wa Tafsiri,wa zamani na wa sasa walio mzidi kwa elimu na maarifa Shaykh Abdullah Salehe.
 
nimekuambi marejeo yangu katika aya hiyo ni tafsiri ya shekh abdallah saleh.

si umetaka marejeo mkuu ?

Uliposema maneno haya ulimaanisha nini ?

mwanachuoni aliyenitangulia ni AYA HIYO HIYO YA QURANI.
 
Inaonekana una sahau sana,nilikwambiaje huko nyuma kuhusu Shaykh Abdullah Salehe al Farsiy Allah amrehemu ?

Mimi naikataa hiyo Tafsiri na nilikupa sababu na kukutajia wanazuoni wakubwa wa Tafsiri,wa zamani na wa sasa walio mzidi kwa elimu na maarifa Shaykh Abdullah Salehe.
sasa kamaunaikataa wewe unataka na mimi niikatae bila sababu ya msingi yeyote ?

au ulikusudia marejeo unayoyakubali wewe ama sivyo ?

wewe kama unakataa tafsiri ya sheikh abdallah saleh hilo halinifanyi mimi kuacha msimamo huo wa kuwa dunia inszunguka ati kwa kuwa wengine wamesema kinyume.

wewe hata kamaunasema unapingana na saleh ndo na mimi nifuate mtizamo wako ama sivyo mkuu..

hao wanawachuoni wakubwa tunawauaje ili turejee kwao..?

wanasifa gani haswaa ili turejee kwao na tuone kwba huyu abdallah saleh kwa kwetu sio mwanawachuoni..?
 
Sasa rejea jibu kisha kama hujaelewa niambie nikueleweshe.
iweke aya sio unaandika tu ukajua umejibu.

nimetaka aya ambayo imeeleza hivyo.

jibu lako sijalielewa kwa sababu hakuna aya.

nimeomba maneno matupu..?
 
Uliposema maneno haya ulimaanisha nini ?

mwanachuoni aliyenitangulia ni AYA HIYO HIYO YA QURANI.
nimekusudia hiyo aya ya Qurani.

kwa hyo unataka kuhamisha mada sio..?

Qurani ndio nimeinukuu kwanza kabla ya alfarsiy.

unataka kusemaje..?
 
Inaonekana una sahau sana,nilikwambiaje huko nyuma kuhusu Shaykh Abdullah Salehe al Farsiy Allah amrehemu ?

Mimi naikataa hiyo Tafsiri na nilikupa sababu na kukutajia wanazuoni wakubwa wa Tafsiri,wa zamani na wa sasa walio mzidi kwa elimu na maarifa Shaykh Abdullah Salehe.
wanachuoni wakubwa wana sifa zipi ambazo zitatufanya tuone kuwa huyu adallah saleh ni kijanachuoni kidogo...?
 
Naye ndiye aliyeumba usiku na mchana na jua na mwezi vyote vipo katika njia vikiogelea. (21:33)
Hapo katika hiyo aya jua na mwezi ndiyo vimetajwa kwamba vinatembea kuzunguka kupitia kwenye falaki zake, dunia haijatajwa lakini mwezi umetajwa hapo, akili ndogo tu inatosha kukujulisha kuwa dunia nayo inazunguka kupitia falaki kwasababu mwezi siku zote umeambatana na dunia katika safari zake (mwezi ni satellite ya dunia). Si hivyo tu bali usiku na mchana uliotajwa hapo unatokea katika dunia na hii Allah anataka kutuonyesha kwamba dunia pia hujizungusha katika mhimili wake ili kupata usiku na mchana. Kwahiyo dunia inayomizunguko miwili rotation and revolution, labda upinge kwamba dunia na mwezi havijafungamana.
Allsh anasema; " Na hiki kitabu tumekuteremshia kimebarikiwa ili wazingatie aya zake na wakumbushwe WENYE AKILI. 38
Bado una ruka ruka,nataka unipe aya inayo onyesha Dunia inazunguka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom