Dunia inazungukaje?

Dunia inazungukaje?

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
12,314
Reaction score
18,154
Nimeishia form four ila napenda kujua haya mambo,hivyo ukija na porojo ooh huna shule kasome utapoteza muda tu,tujadili hili suala.

Kuhusu jua na mwezi hivi bila shaka vinazunguka na nadharia yake iiko madhubuti kueleweka.lakini hii ya dunia kuzunguka imekaaje mbona inakanganya sana wadau?

Hii dunia kama inazunguka tena kwa spidi kubwa sana inakuwaje wale ambao wanatoka nje ya dunia wakirudi hurudia pale pale tu hata hawatui pengine?

Yaani muweke sisimizi kwenye tufe alafu jaalia pale alipo ndo anatoka duniani anaenda mbali katika sayari zinginee.jaalia umempaisha sasa alafu alipotoka katika anga ya dunia ile dunia(tufe)likawa linazunguka kwa spidi kali sana.umepata picha?.
Sasa je ili arudi na ile kasi ya dunia yenyewe kuzunguka naweza kutua pale pale kweli?

Hawa wanaopaa wannafanyaje mpaka wanaarudi pale pale walipotokea?

Naomba tueleweshane nipo hapa kujifunza wadau.sitaki kejelii

Mokaze
Shark

AL - ANBIYAA - 33
Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea.

YA-SIN - 39
Na mwezi tumeupimia vituo, mpaka unakuwa kama karara kongwe

YA-SIN - 38
Na jua linakwenda kwa kiwango chake. Hayo ni makadirio ya Mwenye nguvu, Mwenye kujua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwenye orbit yake kwa mujibu wa wazungu..Ila Mimi nina amini dunia haizunguki...Jua linazunguka dunia na nyota za huko angani zina chaji jua kila siku..
Sasa wanasema dunia inajuzungusha yenyewe kwa spidi kubwa sanaa yaani kubwaaa.
Alafu dunia inazuunguka kwenye orbit yake.

Sasa vitendo hivi vyote inamaana vinafanyika kwa pamoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ndo mana nikataka kujua hili.

Physics niliiacha form four ila najua jua linazunguka na mwezi unazunguka.
Sasa kwenye dunia kunashindikana nini kufahamishwa nikaelewa kama nilivyoelewa kwenye jua na mwezi mkuu?
Huwezi kupata majibu ya swali lako hapa! Jitahidi kusoma Physics utajua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeishia form four ila napenda kujua haya mambo,hivyo ukija na porojo ooh huna shule kasome utapoteza muda tu,tujadili hili suala.

Kuhusu jua na mwezi hivi bila shaka vinazunguka na nadharia yake iiko madhubuti kueleweka.lakini hii ya dunia kuzunguka imekaaje mbona inakanganya sana wadau?

Hii dunia kama inazunguka tena kwa spidi kubwa sana inakuwaje wale ambao wanatoka nje ya dunia wakirudi hurudia pale pale tu hata hawatui pengine?

Yaani muweke sisimizi kwenye tufe alafu jaalia pale alipo ndo anatoka duniani anaenda mbali katika sayari zinginee.jaalia umempaisha sasa alafu alipotoka katika anga ya dunia ile dunia(tufe)likawa linazunguka kwa spidi kali sana.umepata picha?.
Sasa je ili arudi na ile kasi ya dunia yenyewe kuzunguka naweza kutua pale pale kweli?

Hawa wanaopaa wannafanyaje mpaka wanaarudi pale pale walipotokea?

Naomba tueleweshane nipo hapa kujifunza wadau.sitaki kejelii

Mokaze
Shark

AL - ANBIYAA - 33
Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea.

YA-SIN - 39
Na mwezi tumeupimia vituo, mpaka unakuwa kama karara kongwe

YA-SIN - 38
Na jua linakwenda kwa kiwango chake. Hayo ni makadirio ya Mwenye nguvu, Mwenye kujua.

Sent using Jamii Forums mobile app

Dunia haizunguki.
 
Mkuu ndo mana nikataka kujua hili.
Physics niliiacha form four ila najua jua linazunguka na mwezi unazunguka.
Sasa kwenye dunia kunashindikana nini kufahamishwa nikaelewa kama nilivyoelewa kwenye jua na mwezi mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app

Huwezi kujua kwa kudiscuss na watu wasiojua..! Hata aliyepata div 0 anaamini anajua ila kaonewa tu..

Sasa unadiscuss issues hizi na MTU anakwambia wazungu waongo sana! Hapohapo anatumia vitu walivyovumbua..!

Kwa kukusaidia tu, hayo maswali yako yamejibiwa na Ordinary Level Physics.. Ila huwezi kujua hapa maana wasiojua ni Wengi na watakuchanganya tu!

Soma Physics bado umri wako unaruhusu!
 
Kuna force mbalimbali zipo,kwa akili yako ya form 4 iishia hapo hapo kwamba dunia inajizungusha kwenye mhimili wake huku inalizunguka jua,
Afu imagine upo kwenye pickup inatembea then umeshika kitu mkonononi say jiwe,unafikiri ukilirusha juu litaanguka au litaangukia mikononi ?

Ushauri wako mzuri sana mkuu na nimeshaanza kuufanyia kazi mda tu.ila sidhani kama watakosekana watu kama wewe wa kujobu vijiswali ambavyo labda vinatutatiza kwa namna moja ama nyingine.

Sikutaka kukata moja kwa moja kwamba dunia haizunguki kwa sababu elimu ni pana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna force mbalimbali zipo,kwa akili yako ya form 4 iishia hapo hapo kwamba dunia inajizungusha kwenye mhimili wake huku inalizunguka jua,
Afu imagine upo kwenye pickup inatembea then umeshika kitu mkonononi say jiwe,unafikiri ukilirusha juu litaanguka au litaangukia mikononi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiniulize maswali kabla hujajibu maswali yangu.
Hilo jiwe unalolirusha kwenye pickup bado hilo jiwe linakuwa katika anga ya hilo pickup.
Kwea gari ambayo iko wazi alafu rusha jiwe juu sana tuone kama litakurudia wewe au utaliacha nyuma?

Mbona unataka kugeuza mambo mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana Jua halizunguki hili weka akilini....jua ndilo linalozungukwa na vilivyomo kwenye mfumo wake....mfumo wa jua una sayari kadhaa ikiwemo dunia miezi kadhaa ukiwemo huu wa kwetu vimondo na takataka zingine zote zinalizunguka jua ambalo lina nguvu kubwa ya uvutano hivyo hakuna kinachotoka nje ya msari wake

Dunia hujizungusha yenyewe wakati huo huo ikilizunguka jua....mwezi nao unajizungusha wenyewe huku unaizunguka dunia hapo hapo inalizunguka jua pamoja na dunia
Ndio maana wakati fulani kunakuwa na kupatwa kwa jua ama mwezi kutokana na mizunguko yao
Jua ni nyota iliyo karibu na sisi nyota zingine zipo mbali sana nazo zina mifumo yao nayo huzungukwa vilevile ila siku zote nyota hazizunguki bali sayari na maumbo mengine
 
Huwezi kujua kwa kudiscuss na watu wasiojua..! Hata aliyepata div 0 anaamini anajua ila kaonewa tu..
Sasa unadiscuss issues hizi na MTU anakwambia wazungu waongo sana! Hapohapo anatumia vitu walivyovumbua..!
Kwa kukusaidia tu, hayo maswali yako yamejibiwa na Ordinary Level Physics.. Ila huwezi kujua hapa maana wasiojua ni Wengi na watakuchanganya tu!
Soma Physics bado umri wako unaruhusu!

Soma:
(1) Newton's 1st Law of Motion
(2) Gravitation
(3) Rotational Dynamics
 
Anga la pickup, je la dunia likoje? Namaanisha, linaishia wapi? Learn to learn.
Usiniulize maswali kabla hujajibu maswali yangu.
Hilo jiwe unalolirusha kwenye pickup bado hilo jiwe linakuwa katika anga ya hilo pickup.
Kwea gari ambayo iko wazi alafu rusha jiwe. Pickup ni gari la wazi pia, na logic ya alichokihitaji kukuambia ndicho hichohicho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom