Bado una ruka ruka,nataka unipe aya inayo onyesha Dunia inazunguka.
Hapo inaonesha utoto umekujaa, hivi wewe una umri gani??, inawezekana tunajadiliana na mtoto!!!.
Katika hiyo aya 21:33, jua na mwezi vimetajwa kwamba vinazunguka kwa kuelea katika njia yake "falakin"--- sasa dunia siku zote imeambatana na mwezi, (AU KWA UBISHI WAKO NA HILI UKATAE KWAMBA MWEZI NA DUNIA HAVIJA AMBATANA/ MWEZI NI SATELLITE YA DUNIA ), sasa kama mwezi unazunguka katika falaki ni wazi hata dunia itakuwa inaelea ikizunguka kupitia falaki hiyohiyo ya mwezi, ni jambo la akili ndogo kuweza kujua jambo hili, isitoshe usiku na mchana vimetajwa kwenye hiyo aya hapo Allah anataka tujue kwamba licha ya dunia kuogelea na kuzunguka kwenye falaki yake pia hujizungusha ndipo tunapata usiku na mchana.
Katika aya 38: 29, Allah anatunasihi kwa kusema: " Na hiki kitabu tumekutetemshia kimebarikiwa ili WAZINGATIE aya zake na wakumbushwe WENYE AKILI.
Qur'an ni kitabu cha watu wanaotumia akili.
Kstika sayansi, Nguvu za uvutano, the universal gravitation zinatii kanuni hii;-
F= GMm/r² ambapo, F ni nguvu ya uvutano kati ya vitu viwili katika suala letu ni kati ya jua na dunia iliyoambatana na mwezi., M ni mass ya jua, m ni mass ya dunia na r ni umbali kutoka katikati ya jua kuja hadi katikati ya dunia, ili dunia iliyoambatana na mwezi vibakie katika falaki yao ni lazima kuwepo na balancing force/counter force hivyo basi ni lazima vizunguke /revolve along the orbit na hivyo kutengeneza counter force/ centripetal force;
F=mrw² , ambapo m ni mass ya dunia, r ni umbali kutoka katikati ya jua kuja hadi katikati ya dunia, w ni angular velocity ya dunia ikiambatana na mwezi kwenye falaki yake vinapolizunga jua.
Kama kusingekuwa na hiyo conterforce basi dunia ingevutwa na jua kwa force ile pale juu kabisa na ingetumbukia kwenye jua kama kwamba jiwe umelitupia kwenye bwawa la maji, lakini kumbuka moto wa jua ni nuclear reaction, joto lake kwenye kiini ni temperatute tskriban 1,000,000 °C, hivyo dunia haiwezi kufika kwenye uso wa jua kabla haijawa mvuke.
Hiyo ndiyo sayansi kiduchu tukuhusiana na mzunguko wa dunia kuzunguka jua, kwani kuna sayansi zaidi ya hiyo.
Qur'ani ni kitabu mujarabu licha ya sisi wenyewe Waislamu kukipuuza, mtume atasema; yaa rabbi inna qaumi takhadha hadha alqur'an mahajuurah, Ewe mola wangu hakika watu wangu wameifanya hii Qur'an kitu kilichoachwa/cha kupuuzwa/kisichofaa.
Zurri unataka kuondoa uzuri wa Qur'an, labda unataka uzuri wa vitabu vingine ambao haupo utamalaki,🤣🤣