Dunia inazungukaje?

Dunia inazungukaje?

Kaka naomba ujibu maswali yangu tu,mbona rahisi sana.

Sasa kama ni maswali rahisi kwanini uniulize???, umenitega??🤣🤣

Sasa kaka ni mwendo wa kutegana na sio mwendo wa kuelimishana!!!, imekuwa ligi???🤣 kutafuta nani kashinda na nani kashindwa???.

Basi Umeshinda na mimi nimeshindwa. Nadhani umeridhika kaka, tuendelee na maisha.

Ila usiibeze sayansi hata kama "ilikupiga" wewe iheshimu tu, hiyo touch yako ni matokeo ya sayansi.

Kwaheri kaka, nakwenda kutafuta riziki ya watoto.
[/QUOTE]
Kwanza sijakutega,ila nimekuonyesha ya kuwa hizo nadharia mnazopewa unatakiwa uwe unazihoji na ujue ukweli wake na ujue mipaka yake.

Pili,unatakiwa usome Tafsiri za aya za Qur'aan kutoka kwa wanazuoni kabla ya kuitafsiri kwa mtindo wa kisayansi,kwani lazima ukosee. Sababu unaweza kukosea na kuifasiri kwa mtazamo wa Wanasayansi kwa kukataa maana ya kweli ya aya na kufanya hivi unakufuru kama alivyosema Shaykh Ibn Baz,alipokuwa anazungunzia ya kuwa Dunia,haizunguki kisha akasema akitokea mtu akasema ya kuwa Jua halitembei,wakati kuna aya za wazi zinazo onyesha Jua linatembea,huyo anakuwa amekufuru.

Tatu,mimi si sishindani,ndio maana huwa naweka ushahidi kisha upambanenao.

Nne,siibezi Sayansi sababu mimi ninaishi humo yaani field yangu na taaluma ysngu ni moja ya tawi la Sayansi,ila kuishi humo hakunifanyi nisihoji juu ya Sayansi,na ninacho kifanya mimi ni kuwa Sayansi ifate Qur'aan na hivi ndivyo wanazuoni wetu wanasema na ndio haki.

Tano,nilichokiona kwako ni kuwa wewe ni mshabiki na mpenzi wa Sayansi ndio maana kuna mengi huyajui hasa misingi yake ndio maana hata kuitetea unashindwa. Hili ni tatiz kubwa sana,na wanazuoni wetu husema "Ukinyimwa misingi ya elimu fulani,ni sawa na kuharamishiwa elimj hiyo,yaani kunyimwa elimu hiyo". Yaani hitaijua hakika yake.
 
Kaka, naishia hapo, kiwango cha elimu yako ni kidogo mno kuweza kujua nitakacho kuelewesha.
Msio kuwa na maarifa ya jambo hili huwa mnavituko sana hasa mnaposhindwa kujibu maswali mepesi kama niliyo kuuliza,unaanza sasa kuujadili upeo na elimu,sasa ili uonyeshe mimi nina upeo mdogo jibu maswali yangu na uniwekee hoja za kielimu kuonyesha ukweli wako. Kinyume na hapo hizi ni kelele za chura tu.

Nilijua tu huna uwezo wa kujibu maswali yangu ila nilikuonyesha kuwa ujinga wako upo wapi.

Kituko kingine cha leo,ni wewe kunukuu hadithi ya uongo isiyo na asili,halafu ajabu unataka uuzungumzie Uislamu linawezekana vipi hili,wakati hata kuchuja na kujua kipi kinafaa na kipi hakifai ? Soma kaka.
 
Asili ya hili ni kutoka kwa mtume,ukisoma fani ya Tajweed utakutana na jadithi ya mtume inayosema ukitaka kuisoma Qur'aan basi soma kama anavyoisoma "Ibn Amiiy" akimkusudia swahaba Abdullah Ibn Mas'oud hii ndio inaitwa ijaza.

Allah anasema waulizeni wanao fahamu kama nyinyi hamfahamu,na tunasomewa ya kuwa wanachuoni ni warithi wa mitume.

Na hili utalikuta kwa maswahaba pia,kwa maana walikuwepo maswahaba ambao ni wasomi wakubwa na wenye kutoa fatwa,hawa ulikuwa unaelekezwa kabisa kwamba ukitaka majibu kuhusu jambo fulani mfate fulani.

Hili likaenda mpaka kwa matabiina,ukisoma athari utaona hili kwa Imaam Atwaa bin Abi Rabaha,ilifikia hatua mtawala akasema haruhusiwi mtu kutoa fatwa hapa makka isipokuwa Atwaa na yeye Atwaa alikuwa ana kaimu kiti cha Sayyid bin Jubeir kama sikosei na huyu Atwaa alisoma kwa mama Aisha na Abdullah Ibn Abbas Allah awaridhie,kwa maana wasomi walijulikana na nafasi yao ilikuwa wazi,na hii ni kutokana na ikhlaswi yao na maarifa yao makubwa.

Sababu elimu huenda kwa kurithishana hilo limetufikia mpaka kwetu sisi na litaendelea.

Kwahiyo namba 3 ina asili toka kwenye Qur'aan,kutoka kwa mtume ikafanyiwa kazi na maswahaba kisha matabiin na kisha waliowafata wao mpaka imetufikia sisi.
sasa unadhani huyo abdallah saleh kaipata elimu ipi kama sio ile waliypiwacha masahaba hao ikapita na kupita mpaka kwa abdallah saleh ?

unafkiri abdallah saleh alikuwa hatoi fatwaa na a
alikuwa hatambuliki na utawala juu ya ilmu yake mpaka alipoenda kenya akapewa wadhifa kama ule wa zanzibar ?

mbonauna upinzani usio na mantiki kabisa.

kiufupi hakuna hoja ambayo umeiegemea ya kueleweka kutaja sifa za mwanachuoni.

bali umetoa maneno matupu.

kamauna uwezo toa sifa abazo amezitoa mtume ili ku2aua wana wachuoni tuondoe mzozo.

sio maneno matupu ambayo hayaeleweki hoja imejengewa wapi..
 
Huu sio msingi katika kufasiri Qur'aan na ndio maana nilikwambia huko nyuma aya hufasiriwa kulingana na muktadha na mtiririko ulivyo na kutokana na athari,ndio maana nimekuwekea hiyo aya ili ujue na uone kwamba hicho unachokiulizia sio msingi na hakipo.

Soma aya angalia wanazuoni wamefasiri kutoka kwa mtume au kwa maswahaba.

Ndio maana nakuuliza hivi huo msingi unao usema umeutoa wapi ? Naomba ujibu hili swali.
nimekuuliza hiyo aya mtume kaifasiri vipi ?

nipe kauli ya mtume kafasiri aje hiyo aya ?

au aliiruka hakuifasiri ?

unanipa kauli ya ulamaa ametafsiri kwani w
kabla ya huyo ulamaa ilitafsiriwa vipi ?
 
Sijui mtume ameitafsiri vipi hiyo aya. Naomba unisaidie wewe uniambie mtume ameifasiri vipi hiyo aya.

Kisha uzipitie aya zako zote ulizo ziweka hapa uniambie mtume alizifasiri vipi.
 
sasa unadhani huyo abdallah saleh kaipata elimu ipi kama sio ile waliypiwacha masahaba hao ikapita na kupita mpaka kwa abdallah saleh ?

unafkiri abdallah saleh alikuwa hatoi fatwaa na a
alikuwa hatambuliki na utawala juu ya ilmu yake mpaka alipoenda kenya akapewa wadhifa kama ule wa zanzibar ?

mbonauna upinzani usio na mantiki kabisa.

kiufupi hakuna hoja ambayo umeiegemea ya kueleweka kutaja sifa za mwanachuoni.

bali umetoa maneno matupu.

kamauna uwezo toa sifa abazo amezitoa mtume ili ku2aua wana wachuoni tuondoe mzozo.

sio maneno matupu ambayo hayaeleweki hoja imejengewa wapi..
Kazi ipo,ina maana hata aya hujaona ? Hadithi pia hujaona na athari pia hujaona ?

Hivi nikikwambia elimu inaenda kwa kurithishana unaelewa nini ?

Nilipokwambia mtume alikuwa anawateua watu na kuwaweka katika nafasi zao na kuwapa ijaza,nikakutolea mfano wa swahaba Abdullah bin Mas'ud katika usomaji mzuri wa Qur'aan na kuna maswahaba walikuwa wanajulikana kwamba wao ni watoaji fatwa hiyo nayo pia ushahidi ?

Nilipokwambia warithi wa mitume ni wanazuoni hilo nalo sio ushahidi ?

Nilipokwambia Allah aliye juu anasema kutuambia "Tuwaulize wanao fahamu ikiwa sisi hatujui" huu nao sio ushahidi ?

Ngoja nikufundishe sasa,niliposema haya tunayo yaona leo yana asili kwa mtume,bali kabla ni kwa Allah aliye juu. Kama umesoma elimu ya Usul al Fiqh japo kwa uchache hili utaliona,wanazuoni huwa wanasoma nususi kisha wanaunda kaida kutokana na nususi hizo,na asili ni Qur'aan na Sunnah,kutokana na Qur'aan na Sunnah na athari zikatokea hizo sifa na pia mfano wake kama vile Qawaid l Fiqihiyyah. Sasa usiwe unapinga jambo ambalo huna elimu.

Ijaza ni msingi kwa kuwajua wanazuoni na ijaza ni msingi kwa kujua kwa nani ukasome na haya yana asili.

Sasa kama wewe unasema Shaykh Abdullah Saleh al Farsiy ni Mwanachuoni hatuwezi kufanyi kazi maneno yako sababu huna aliyekutangulia katika wasomi tunao wajua katika hilo,pili huna elimu ya kumjua nani mwanachuoni na nani sio kwa upeo wako bila kugemeza kwa wakubwa katika Elimu.

Nakupa kazi sasa,rejea katika Sahihi al Bukhar katika "Kitab al Ilm" na rejea katika kitabu "Muqadimmah fi Sahih Muslim" uone nafasi ya ijaza katika Uislamu.
 
Sijui mtume ameitafsiri vipi hiyo aya. Naomba unisaidie wewe uniambie mtume ameifasiri vipi hiyo aya.

Kisha uzipitie aya zako zote ulizo ziweka hapa uniambie mtume alizifasiri vipi.
kwahyo maulamaa wametafsiri aya kea ufahamu wa nani kama mtume hajaifasiri ?

wameupata wapi ufahamu huo ?
 
Sasa unaniuliza mimi tena hili swali,jibu nilichokuuliza kwanza.
 
Kazi ipo,ina maana hata aya hujaona ? Hadithi pia hujaona na athari pia hujaona ?

Hivi nikikwambia elimu inaenda kwa kurithishana unaelewa nini ?

Nilipokwambia mtume alikuwa anawateua watu na kuwaweka katika nafasi zao na kuwapa ijaza,nikakutolea mfano wa swahaba Abdullah bin Mas'ud katika usomaji mzuri wa Qur'aan na kuna maswahaba walikuwa wanajulikana kwamba wao ni watoaji fatwa hiyo nayo pia ushahidi ?

Nilipokwambia warithi wa mitume ni wanazuoni hilo nalo sio ushahidi ?

Nilipokwambia Allah aliye juu anasema kutuambia "Tuwaulize wanao fahamu ikiwa sisi hatujui" huu nao sio ushahidi ?

Ngoja nikufundishe sasa,niliposema haya tunayo yaona leo yana asili kwa mtume,bali kabla ni kwa Allah aliye juu. Kama umesoma elimu ya Usul al Fiqh japo kwa uchache hili utaliona,wanazuoni huwa wanasoma nususi kisha wanaunda kaida kutokana na nususi hizo,na asili ni Qur'aan na Sunnah,kutokana na Qur'aan na Sunnah na athari zikatokea hizo sifa na pia mfano wake kama vile Qawaid l Fiqihiyyah. Sasa usiwe unapinga jambo ambalo huna elimu.

Ijaza ni msingi kwa kuwajua wanazuoni na ijaza ni msingi kwa kujua kwa nani ukasome na haya yana asili.

Sasa kama wewe unasema Shaykh Abdullah Saleh al Farsiy ni Mwanachuoni hatuwezi kufanyi kazi maneno yako sababu huna aliyekutangulia katika wasomi tunao wajua katika hilo,pili huna elimu ya kumjua nani mwanachuoni na nani sio kwa upeo wako bila kugemeza kwa wakubwa katika Elimu.

Nakupa kazi sasa,rejea katika Sahihi al Bukhar katika "Kitab al Ilm" na rejea katika kitabu "Muqadimmah fi Sahih Muslim" uone nafasi ya ijaza katika Uislamu.
nimekuuliza hiyo elimu ya abdallah saleh kama sio wanawachuoni kuisambaza na kuirithisha ingemfikia yeye.?

au abdallah saleh karithi elimu ambayo sio ile ya uislamu ?

kurithishana elimu sawakupo, je Abdallah saleh alispma kwa maajahili ndo mpaka aafikia pale sio ?

au unadhai mwanachuoni mpaka awe muarabu wa hukoo
 
Sasa unaniuliza mimi tena hili swali,jibu nilichokuuliza kwanza.
mimi sina tafsiri yamtume.

ulamaa wamefasiri aya hiyo kwa ufahamu wa nani..?

au wametumiaakili, zao naufaamu wao kuifasiri ?
 
nimekuuliza hiyo elimu ya abdallah saleh kama sio wanawachuoni kuisambaza na kuirithisha ingemfikia yeye.?
Safi kabisa,kumbe unajua kama kuna wanachuoni,swali la msingi umewajuaje kama hao ni wanachuoni ?

Wewe umesema Shaykh Abdallah Saleh ni Mwanachuoni,mimi nikasema sio,nikakupa sifa za mwanachuoni ukasema ni maneno matupu,sasa niambie wewe umejuaje kama Shaykh Saleh Allah amrehemu ni mwanachuoni ?
au abdallah saleh karithi elimu ambayo sio ile ya uislamu ?
Inaonekana huelewi unachokiandika bali hata ninacho kiandika.

Kwani anae soma kwa mwanachuoni na yeye anakuwa mwanachuoni ?
kurithishana elimu sawakupo, je Abdallah saleh alispma kwa maajahili ndo mpaka aafikia pale sio ?

au unadhai mwanachuoni mpaka awe muarabu wa hukoo
Umejuaje kama Shaykh Abdullah Saleh al Farsy ni mwanachuoni ?

Kaka elimu sio ya watu fulani bali elimu ni ya kila mtu.

Wapo wanachuoni wakubwa tu wabantu tena weusi tii,mpaka muda huu hapa navyokwambia wapo na wanaheshimiwa mno,Mashaa Allah,elimu haina ubaguzi,nikianza kuwataja hapa na kazi zao sitazimaliza,bali wameombwa kabisa wabakie huko arabuni kuwasomesha watu dini.

Nakukumbusha tu,kwa hekima na maarifa iliwafsnya watu dhalili na masikini wakae meza moja na wafalme na watawala.
 
Ulivyokuwa unaleta fasiri zako hukujua nafasi ya tafsiri ya mtume ?

Sijui wametumia nini,ndio uniambie wewe ambae huoni nafasi yao,inaonekana unawajua sana.
na hao ulamaa walioleta tafsiri zao ha2sjui nafasi ya mtume..?

shekhe abdallah saleh ni mwanawachuoni kwa sababu..

1.kasoma elimu ya dini na usomaji wake ni marufu unafahamika africa mashariki wafuatiliaji elimu na masheikh wengi wa sasa kama sio wote wanamjua kwa uzuri wa elimu yake.

2.lakini pia kaandika vitabu mbali mbali na jitihada yake kuisambaza dini

3.Amefundisha zanzibar mda mrefu na akatoka akafika kenya pia hali ikaea hivyo hivyo.

4.amejitahidi kutafsiri Qurani kwa kadri ya uwezo wake nayo ni jitihada kubwa kabisa na tafsiri yake imeenea africa mashariki.

haiwezekani tafsiri yake ienee alafu umchukulie powa tu kama mimi na wewe.

5.alijitahidi kulingania katika njia ya sawa sawa kumfuata mtume na masahaba zake ingawa nye ni kama wanachuoni wengine hupatia na Kukosea.

6.huwezi kumtoa shekhe huyu katika wasomi maarufu africa mashariki wanaotambulika kwa kazi zao,

kwasifa hizo zimenifanya nimuone huyo ni meanawachuoni na wala sina haja ya kutaka kujua ibn taymiyyah anasemaje kuhusu abdallah saleh.

au fawzan anasemaje kuhusu Abdallah saleh.

au ibn uthaymeen anasemaje kuhusu Abdallah saleh

hayo sitaki kujua kwa sababu hayana mashiko kabisaa, na haiwezekani mtu atoe tazkiya kwamtu ambaye hamjui.

kutaka sheikh abdallah saleh apewetazikyah na maulamaa wengine wakati labda hakusoma kwao huku ni kutoelewa kabisa.

sheikh Abdallah saleh kapewa tazkiyah na watu waliomfundisha wakati huo na akaachiwa duruus mbali mabli aziendeleze hapa zanzibar wakati huo angali anasoma.

hivyp ndo vigezo vyangu vya kumjua mwanawachuoni..
 
Kumbe vigezo vyako,nikajua ni kwa mujibu wa wanachuoni fulani.

Hakuna anae kataa ya kuwa Shaykh Abdullah Salehe al Farsy sio msomi ni msomi maarufu ila sio Mwanachuoni,kuna ngazi kulingana na elimu husika.
 
sheikh Abdallah saleh ni maarufu na huwezi kumtoa katika ulamaa wa africa mashariki katu..

kasambaza elimu si kenya si hapa zanzibar.

nenda congo(ama burundi) kama sikosei sheikh abdallah saleh kaacha ilmu kule na upande ambao likuwako yeye anafundisha mpaka hivi leo hawasomi maulidi na wana hawana khulafaati kutokana na athari ya sheikh Abdallah saleh.

sasa huyu bwana kwa hapa africa mashariki ni michache wa mfano wake.

kumtoa katika wanachuoni ati kwa kuwa hajakidhi vigezo alivyotoa mtu fulani huo ni ubinafsi na ujinga ambao haupaswi kunyamaziwa.

leo watu ukiwaambia fungaya miraji haipo hata sheikh Abdallah saleh amekataza watu wanashtuka waauliza "mpaka sheikh al farsiy kakataza kumbe ? "

kwa maana inafahamika ilmu yake, alupokosea ni kama pale anapokosea aalim mwingine mfanowe, hakuna aalim asiyekosea na hata alfarsiy naye ni binadamu.

karithi elimu ile ile ambayo ameifundisha mtume kwa masahaba, masahaba wakafundisha taabiin, taabiin wakafundisha atbaau ttaabiin na hao pia wakafundisha atbaau ttaabii attaabiiyn pia nao wakawafundisha waliofuata na wakafuatanaa wee mpaka sheikh Abdallah farsiy akaipata elimu hiyo.

kwa maana ya kuwa naye ni katika ulamaa ambao wamemrithi mtume Wa Allah.

Allah amrehemu.

kaielezea aya ya 88 ya kuwa hata wazungu wanakubali ya kuwa dunia inazunguka, haya ndo mafhum ya abdallah saleh juu ya aya hiyo.

kama kunaulamaa wengine wanaosema ati inahusu kiyama basi huo ni mtazamo wao tutauheshimu ila sisi tupo pamoja na alfarsiy kaifasiri aya vizuri na kaona kuwa hapa hapajagusiwa kiyama..

والعلم عند الله
 
[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1315]----- mtu nduki hapo, [emoji1787][emoji1787]
mkuu mokaze tafadhali naomba tafsiri ya hii ibara hapaa chini..

In a daunting warning, NASA predicts that the Sun will reach a so-called solar minimum by the end of 2019 or 2020, and when that happens, that star's central star will emit far less heat than normal, meaning that the mercury in the Thermosphere sinks and leads to a prolonged cold snap, which affects the weather on the surface of the planet.
My take;
If it's true, we are going to face major issues on this planet and life will be miserable.
 
Ndiyo mkuu, nimeisoma hiyo ibara, licha ya mapungufu machache ya lugha iliyotumika lakini nimeielewa.

Tafsiri yake:-

Katika tahadhari ya kutisha, NASA inatabiri kwamba jua litafikia kile kiitwacho "Solar minimum" mwishoni mwa 2019 au 2020, na pindi hali hiyo itakapotokea, jua litatoa joto dogo sana kuliko kawaida, maana yake ni kwamba zebaki katika kipima joto (hapa duniani) itashuka na kupelekea kutokea kwa kipindi kirefu cha baridi (au vipindi vifupi vifupi vya baridi kwa muda mrefu katika uso wa dunia) jambo ambalo litaathiri hali ya hewa juu ya uso wa sayari (dunia):

Maoni yangu (maoni ya mleta ibara):-
Kama ni kweli (basi) tutakumbwa na masuala mazito juu ya sayari hii na maisha yatakuwa hovyo. (Mwisho wa tafsiri.)

Maneno yaliyomo kwenye mabano ni maneno yangu binafsi ili tafsiri inyooke.

Kesho na mimi nitatoa maoni yangu kuhusu hii kadhia.
Inshallah.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom