Dunia inazungukaje?

Dunia inazungukaje?

Mbona sasa hueleweki tena?!!, mimi nilikuambia kuwa maelezo ya wanasayansi juu ya the Big bang na the black hole "yanalandana" na maneno ya Qur'an - wewe ukasema sikuwaelewa hao wanasayansi ndipo nikataka wewe sasa unieleweshe jinsi ulivyowaelewa, sasa hutaki ?!! 🤣🤣.
Wewe ulisema Big Bang na Black Hole imeelezewa katika Qur'aan mimi nikasema hakuna hizo habari katika Qur'aan,mintarafu Big Bang nilikueleza huko nyuma Wanasayansi hawaelezi ni kwanini na nani aliye sababisha hilo,kufanya kwao hivyo kunaondoa uwepo wa Big Bang katika Qur'aan kwani kitendo kile ni Allah aliziachanisha kwa amri yake.

Pili,kitu fulani kuwa kama kitu fulani hicho kitu sio sawa na hicho,bali vinakiwa vitu viwili kando.

Mimi msimamo wangu uko pale pale,na sio kwamba sieleweki haya ni muendelezo tu.
 
Hii inaonyesha unapinga kitu usichojua KABISA. Wanasayansi wanasemaje juu ya the Big bang na the black hole??, kama hujui utasemaje maelezi yao hayafanani na Qur'an??.
Hili swali sistahili nilijibu,mimi nakuhoji wewe unae sema ya kuwa kwenye Qur'aan kuna Big Bang na Black Hole zimelezewa,wakati hata Tafsiri ya Qur'aan huijui,hii ni ajabu ninayo ona kwako.
 
(ANNABAA - 20)
Na milima itaondolewa na itakuwa kama sarabi

member: 537940"]
ni ayagani Allah kajisifia ufundi wa kuumba alafu iwe hilo tukio la kujisifia kwake linagusia siku ya kiama...?

kama ipo nipe hapa.

Allah akijisifia ufundi wake wa kuumba basi jua hilo linafidisha kabla ya kiama katika maisha ya kila siku.
[/QUOTE]
Nimekuuliza swali rahisi sana lakini hujalijibu,nimekuuliza hivi ni mwanachuoni gani aliye kitangulia katika kauli yako hii au hizi ?
 
aya zenyewe zinakwenda tofauti na ile aya ya 88.Aya ya 88 inasema ya kuwa USIONE milima imetulia HIYO INAKWENDA. kwa maana ina move..

sasa aya unazozitoa zinaenda kinyume na aya hiyo ati mfano

وَإِذَا الْجِبَالُ سُيِّرَتْ

(ATTAKWIR - 3)
Na milima ikaondolewa,

Inaonekana hujasoma aya za uumbaji,soma hizo aya vizuri utaona kuwekwa kwa milima na kuondolewa kute kunafanyika kwa amri ya Allah.

Rejea aya aliyo elezea kuziita mbingu na zikaja,kadhalika kwa kuondolewa ni kwa amri ya Allah na vitaondoka,hapa haweza kuwa kuondolewa kwa kuondoka baada ya kupewa amri na Allah aliye juu,kwa maana hiyo aya inakusudia siku ya Kiyama.
 
sasa aya hii ya 10 nxo inaelezea kiama ya kuwa milima itakuwa inakwenda kwa mwendo mkubwa tofauti na mwendo wake wa kawaida katika aya ya 88 ya annaml.

sasa sioni mafungamao ya hizo aya na ile aya ati kuwa ina, ungumzia kiama.

kama ni hivyo ipi maana ya Allah kusema kuwa milia inakwenda kama mawingu yanavyokwenda..?

hayo mawingu yanakwenda siku ya kiama au yanakwenda hapa nyaksti hizi kabla ya kiama..?
Laiti kama ungekuwa makini na yale maelezo nikiyokupa usingeuliza maswali ya aina hii,yanaonyesha huna ekimu ya Tafsiri ya Qur'aan.

Huko nyuma nilikwambia ya aya ya 88 inachukua kile kilicho kuja kabla ya ke yaani aya ya 87 na ya mbele yake kadhalika. Kisja wanachuoni wa Tafsiri wakaifasiri aya hiyo kwa kuipa nguvu kwa hizo aya nyingine nilizo kuonyesha.

Sasa kwa faida yako,soma aya ya 87 na aya baada ya 88 uone kinachozungumziwa haoo ni nini ?
 
(each in an orbit floating.) means, revolving. Ibn `Abbas said, "They revolve like a spinning wheel, in a circle.''

Sasa toa tafsiri ya hayo maneno, hapo juu. Na uniambie yanahusu nini??
 
Sasa toa tafsiri ya hayo maneno, hapo juu. Na uniambie yanahusu nini??
Maneno yako wazi kaka. Naona umesahau kazi yako sio ? Nakukumbusha tu,wewe ulisema aya hiyo inaonyesha Dunia inazunguka,nikasema hapana,nimeonyesha kinachozunguka ni nini kwa mujibu wa athari,sasa unavyotaka tena mimi nikuelezee naona unanipotezea muda wakati unacho kidai hakipo hapo.

Hayo maneno ya swahaba Ibn Abbas na huyu aliombewa dua na mtume juu ya yeye kuielewa Qur'aan kwa maana zake zote,hapo amezungumzia Jua na Mwezi kama aya hiyo ya sura ya 21 aya ya 33 ilivyoelezea.

Sasa,nakurudisha nyuma tulip toka,nionyeshe katika hiyo aya wapi imeonyesha dunia inazunguka ?

Uliyoyataka nimekuonyesha,sasa zamu yako unionyeshe wewe,umetaka rejea nimekupa.
 
Nimeishia form four ila napenda kujua haya mambo,hivyo ukija na porojo ooh huna shule kasome utapoteza muda tu,tujadili hili suala.

Kuhusu jua na mwezi hivi bila shaka vinazunguka na nadharia yake iiko madhubuti kueleweka.lakini hii ya dunia kuzunguka imekaaje mbona inakanganya sana wadau?

Hii dunia kama inazunguka tena kwa spidi kubwa sana inakuwaje wale ambao wanatoka nje ya dunia wakirudi hurudia pale pale tu hata hawatui pengine?

Yaani muweke sisimizi kwenye tufe alafu jaalia pale alipo ndo anatoka duniani anaenda mbali katika sayari zinginee.jaalia umempaisha sasa alafu alipotoka katika anga ya dunia ile dunia(tufe)likawa linazunguka kwa spidi kali sana.umepata picha?.
Sasa je ili arudi na ile kasi ya dunia yenyewe kuzunguka naweza kutua pale pale kweli?

Hawa wanaopaa wannafanyaje mpaka wanaarudi pale pale walipotokea?

Naomba tueleweshane nipo hapa kujifunza wadau.sitaki kejelii

Mokaze
Shark

AL - ANBIYAA - 33
Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea.

YA-SIN - 39
Na mwezi tumeupimia vituo, mpaka unakuwa kama karara kongwe

YA-SIN - 38
Na jua linakwenda kwa kiwango chake. Hayo ni makadirio ya Mwenye nguvu, Mwenye kujua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hata la saba hukumaliza
 
Maneno yako wazi kaka. Naona umesahau kazi yako sio ? Nakukumbusha tu,wewe ulisema aya hiyo inaonyesha Dunia inazunguka,nikasema hapana,nimeonyesha kinachozunguka ni nini kwa mujibu wa athari,sasa unavyotaka tena mimi nikuelezee naona unanipotezea muda wakati unacho kidai hakipo hapo.

Hayo maneno ya swahaba Ibn Abbas na huyu aliombewa dua na mtume juu ya yeye kuielewa Qur'aan kwa maana zake zote,hapo amezungumzia Jua na Mwezi kama aya hiyo ya sura ya 21 aya ya 33 ilivyoelezea.

Sasa,nakurudisha nyuma tulip toka,nionyeshe katika hiyo aya wapi imeonyesha dunia inazunguka ?

Uliyoyataka nimekuonyesha,sasa zamu yako unionyeshe wewe,umetaka rejea nimekupa.

Nimefungua tafsir ibn kathir ya kiingereza chini ya hiyo aya 21:33, wala sikuona maelezo yoyote, hayo maelezo umeyapata wapi??.

Hajaeleza jambo lolote.juu ya hiyo aya ipo tarjama tu.
 
Laiti kama ungekuwa makini na yale maelezo nikiyokupa usingeuliza maswali ya aina hii,yanaonyesha huna ekimu ya Tafsiri ya Qur'aan.

Huko nyuma nilikwambia ya aya ya 88 inachukua kile kilicho kuja kabla ya ke yaani aya ya 87 na ya mbele yake kadhalika. Kisja wanachuoni wa Tafsiri wakaifasiri aya hiyo kwa kuipa nguvu kwa hizo aya nyingine nilizo kuonyesha.

Sasa kwa faida yako,soma aya ya 87 na aya baada ya 88 uone kinachozungumziwa haoo ni nini ?
nakuambia nimezisoma aya zote sijaona mlingano wa kuwa ati aya inafidosha siku ya kiama.

kama inafidisha siku ya kiama na ule mfano wa mawingu kutembea yatatembea ziku ya kiama pia....?

ukisema ndio nakupa aya zinazoonesha ya kuwa mawingu yanatembea hapa hapa duniani.

ukisema hapana nakurudisha kwenye aya kwamba hata milima inatembea kabla ya kiama.

hatuoni mafungamano yoyote ya aya hiyo na siku ya kiama.
ayaulizotoa kuhus kiyama zinasema vingine kabisa.

nimekuuliza ni aya gani ama dalili gani ambayo Allah kajisifia kwa utaalamu wa uumbaji wake alafu iwe inahusu kiyama..?

kama hakuna basi ujue hata aya ile pia ya 88 haijagusia siku ya kiama bali nikabla ya kiama.

kiama ni Allah kutoa hukumu na kukamilisha ahadi zake.
 
Laiti kama ungekuwa makini na yale maelezo nikiyokupa usingeuliza maswali ya aina hii,yanaonyesha huna ekimu ya Tafsiri ya Qur'aan.

Huko nyuma nilikwambia ya aya ya 88 inachukua kile kilicho kuja kabla ya ke yaani aya ya 87 na ya mbele yake kadhalika. Kisja wanachuoni wa Tafsiri wakaifasiri aya hiyo kwa kuipa nguvu kwa hizo aya nyingine nilizo kuonyesha.

Sasa kwa faida yako,soma aya ya 87 na aya baada ya 88 uone kinachozungumziwa haoo ni nini ?
mwanachuoni aliyenitangulia ni AYA HIYO HIYO YA QURANI.

kwani nimesema kinyume na QURANI hapo au nimesema kinyume na hao kibaar ulamaa wanavyotafsiri ?

mimi nimenukuu Qurani na kukuonesha kuwa aya haihusiani na kiyama wewe unaleta kauli za ulamaa zikigegedua kuhusisha aya hizo na siku ya kiama wakati suala la kwenda kwa vitu linafahamika.

mbona jua linakwenda husemi siku ya kiama, na mwezi unakwenda hausemi siku ya kiama...?

sio kila ayaambayo inakuja baada ya habari ati inahusiana na habari hiyo.
 
Nimekuuliza swali rahisi sana lakini hujalijibu,nimekuuliza hivi ni mwanachuoni gani aliye kitangulia katika kauli yako hii au hizi ?

Inaonekana hujasoma aya za uumbaji,soma hizo aya vizuri utaona kuwekwa kwa milima na kuondolewa kute kunafanyika kwa amri ya Allah.

Rejea aya aliyo elezea kuziita mbingu na zikaja,kadhalika kwa kuondolewa ni kwa amri ya Allah na vitaondoka,hapa haweza kuwa kuondolewa kwa kuondoka baada ya kupewa amri na Allah aliye juu,kwa maana hiyo aya inakusudia siku ya Kiyama.
kwani kitu kikifanywa kwa amri ya Allah maana yake ndo ni wakati wa kiyama au sijaelewa umekusudia nini mkuu ?
 
Soma:
(1) Newton's 1st Law of Motion
(2) Gravitation
(3) Rotational Dynamics
[emoji28][emoji28][emoji28]

Dah mzee mtu kama hajasoma rotational dynamics

Au hajui hata newtons law of gravity ni ngumu sana kukuelewa

Ndo maana mi siwezagi kubishana na mtu anayesema duniani haizunguki kwanza naonaga ni utoto mani

Yaani aisee ni ukichaa mwana sayansi mwenzangu anikute hapa nabishana na watu wanaosema jua ndo linazunguka aisee [emoji28][emoji28]
 
mkuu huyo ni swalehe au
 
Maneno yako wazi kaka. Naona umesahau kazi yako sio ? Nakukumbusha tu,wewe ulisema aya hiyo inaonyesha Dunia inazunguka,nikasema hapana,nimeonyesha kinachozunguka ni nini kwa mujibu wa athari,sasa unavyotaka tena mimi nikuelezee naona unanipotezea muda wakati unacho kidai hakipo hapo.
Hayo maneno ya swahaba Ibn Abbas na huyu aliombewa dua na mtume juu ya yeye kuielewa Qur'aan kwa maana zake zote,hapo amezungumzia Jua na Mwezi kama aya hiyo ya sura ya 21 aya ya 33 ilivyoelezea.
Sasa,nakurudisha nyuma tulip toka,nionyeshe katika hiyo aya wapi imeonyesha dunia inazunguka ?
Uliyoyataka nimekuonyesha,sasa zamu yako unionyeshe wewe,umetaka rejea nimekupa.

Naye ndiye aliyeumba usiku na mchana na jua na mwezi vyote vipo katika njia vikiogelea. (21:33)
Hapo katika hiyo aya jua na mwezi ndiyo vimetajwa kwamba vinatembea kuzunguka kupitia kwenye falaki zake, dunia haijatajwa lakini mwezi umetajwa hapo, akili ndogo tu inatosha kukujulisha kuwa dunia nayo inazunguka kupitia falaki kwasababu mwezi siku zote umeambatana na dunia katika safari zake (mwezi ni satellite ya dunia). Si hivyo tu bali usiku na mchana uliotajwa hapo unatokea katika dunia na hii Allah anataka kutuonyesha kwamba dunia pia hujizungusha katika mhimili wake ili kupata usiku na mchana. Kwahiyo dunia inayomizunguko miwili rotation and revolution, labda upinge kwamba dunia na mwezi havijafungamana.
Allsh anasema; " Na hiki kitabu tumekuteremshia kimebarikiwa ili wazingatie aya zake na wakumbushwe WENYE AKILI. 38
 
Nimefungua tafsir ibn kathir ya kiingereza chini ya hiyo aya 21:33, wala sikuona maelezo yoyote, hayo maelezo umeyapata wapi??.

Hajaeleza jambo lolote.juu ya hiyo aya ipo tarjama tu.
Inaonekana mgeni wa kusoma Tafsiri,soma tena utaona,siwezi kuzua kaka. Hutakiwi kuwa mvivu.

Pili,jibu maswali ninayo kuuliza.
 
nakuambia nimezisoma aya zote sijaona mlingano wa kuwa ati aya inafidosha siku ya kiama.
Kama hujaona,ituhumu elimu yako au maarifa kwa kiwa madogo kug'amua kilicho andikwa humo.
kwani kitu kikifanywa kwa amri ya Allah maana yake ndo ni wakati wa kiyama au sijaelewa umekusudia nini mkuu ?
Sijasema wala kukusudia hilo,hapo nilikuwa naonyesha uelewa wako mbaya katika aya iliyozungumzia kuondolewa kwa milima,nikakuonyesha kwa kurejea amri ya Allah kwa viumbe hivyo,kwahiyo pindi vinavyo ondoka vinakuwa vimetii amri ya amri yao na lazima vitaitwa vyenye kuondoka a vitakuwa katika mwendo.
 
mkuu huyo ni swalehe au
Dah mkuu ni ngumu sana

Kumwambia mtu ambaye anaamini dunia haizunguki

We si unaamini hivyo

Kisayansi hiyo argument ni ya kitoto sana chief

Yaani ni kama chekechea amwelekeze frm 6 😅😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom