Dunia inajua mlima Kilimanjaro upo Kenya

Dunia inajua mlima Kilimanjaro upo Kenya

1468916082471.jpg
 
b8f10d2c36202eec40e5f46288bd1228.jpg

Habari wana jamvi.
Raia mmoja wa Africa Kusini amefariki dunia wakati akipanda mlima "Kilimanjaro wa Kenya" katika kuadhimisha siku aliyozalia Mandela.
Hii imekaaje ndugu zangu?
 
HUA NASHINDWA KABISA KUELEWA WATENDAJI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KWANINI WANALIPWA MISHAHARA...
 
Usichokijua ni kuwa watalii wengi wanapanda mlima kilimanjaro kupitia Kenya, sasa hao watalii unataka waseme ni mlima wa nchi gani! Halafu nyie mnajifanya nunda kwa juu pandisha vat ya utalii unafikiri wataacha kupitia Kenya!?
 
Una uhakika kwamba wanapandia Kenya ? Njia gani wanaitumia ? Naomba kueleweshwa tafadhali
 
BREAKING: Rally Driver Gugu Zulu has died while climbing Kilimanjaro.

Gugu Zulu and his wife Letshego Zulu were part of a group who took part in the ‘Trek 4 Mandela’ initiative to try and raise funds for 350 000 girl children whose education has been affected due to menstrual cahallenges.

Gugu passed away on Monday morning while attempting to reach the summit of Mount Kilimanjaro in Tanzania. After experiencing breathing problems on Sunday, Gugu was rushed to hospital.

13700018_10154951657054041_4163712972483909049_n.jpg
13654266_10154951657184041_8587861112739067504_n.jpg

13700200_10154951656954041_693581960551647428_n.jpg
 
Tuandike malalamiko kama yale yalomfanya yule dada wa kikenya kudanganya watu pale UN kwamba Olduvai ipo kwao. Tukilalamika tu humu bila ya kuanzisha Huo Uzi, basi ni bure tu, wakati mwengine lazima raia tuchukue uamuzi sio kila kitu serikali tu, hilo sio la vyama Bali la nchi
 
According to the Associated Press, "A South African trying to summit Kenya's Mt Kilimanjaro...has died". First and foremost, condolences to the South African family.

Second, let there be no confusion that the deceased died in Tanzania.

And last, we Tanzanians and Africans as a whole demand retraction and apology from Cara Anna of the Associated Press for misleading the world as to the actual country where Mt Kilimanjaro is located.

CARA ANNA... #GetYourFactsRight

2168671d3d7f1f4733ca6d0fa7c90738.jpg

Naomba tuamke watanzania katika hili.

Binafsi sijapendezwa hata kidogo. Mimi sikuwai kufuatilia hizi habari japo zilivuma sana lakini hili gazeti limenitisha kidogo, wakuu wa nchi ni vizuri kupitia na kufanya kazi.

Kama mambo yenyewe kabla ya huo muunganiko (Jumuiya ya Afrika Mashariki) ni hivi.. vipi kama tukiungana?

Mhe. Rais naomba ulichungulie hili swala kwa ukaribu (kikulacho ki nguoni mwako)

Maswali ya msingi kwa watanzania;

1. Kwanini taarifa iseme Kenyan mount?
2. Je serikali ya Kenya kwa habari kama hii lini iliwahi kukanusha?
3. Je sisi kitu gani Dunia inatutambua kwa kutusisngizia kama chetu lakini sio?

Viongozi wetu kama mtaliachia hili bila kusema chochote basi watanzania tumelogwa (huo ni mtazamo wangu).

Loohh!!! jamani tunaonewa sana , nimeliona hilo gazeti la Associated press, nafikiri ni la Afrika kusini. Kweli inawezekana wenzetu hawa wasijue mlima huu uko wapi? Kuna jambo hapa!!!!!!. Tungekuwa na Waziri wa Habari angefuatilia na kudai fidia kutoka kwenye gazeti hilo kutokana na kupotosha taarifa na hivyo kusababisha wageni kufikia Kenya na kuikosesha nchi yetu mapato halali ya utalii, biashara na hoteli lakini pia kuwataka warekebishe ripoti yao hiyo na kuwaomba radhi Watanzania
 
Mnasumbua akili zenu bure, huo ni ushahidi wa umbumbumbu wa wazungu na unyang'au wa wagikuyu ili iwasaidie kuinua Kenya as a.tourism destination period, mt kili haitakaa iwe kenya hata kwa mtutu na vifaru. Kama wana mashaka na resolve ya watz kusimama kidete kutetea maslahi ya let them dare us! Maandishi ya magazeti ni hot air, hamna kitu.
 
According to the Associated Press, "A South African trying to summit Kenya's Mt Kilimanjaro...has died". First and foremost, condolences to the South African family.

Second, let there be no confusion that the deceased died in Tanzania.

And last, we Tanzanians and Africans as a whole demand retraction and apology from Cara Anna of the Associated Press for misleading the world as to the actual country where Mt Kilimanjaro is located.

CARA ANNA... #GetYourFactsRight

2168671d3d7f1f4733ca6d0fa7c90738.jpg

Naomba tuamke watanzania katika hili.

Binafsi sijapendezwa hata kidogo. Mimi sikuwai kufuatilia hizi habari japo zilivuma sana lakini hili gazeti limenitisha kidogo, wakuu wa nchi ni vizuri kupitia na kufanya kazi.

Kama mambo yenyewe kabla ya huo muunganiko (Jumuiya ya Afrika Mashariki) ni hivi.. vipi kama tukiungana?

Mhe. Rais naomba ulichungulie hili swala kwa ukaribu (kikulacho ki nguoni mwako)

Maswali ya msingi kwa watanzania;

1. Kwanini taarifa iseme Kenyan mount?
2. Je serikali ya Kenya kwa habari kama hii lini iliwahi kukanusha?
3. Je sisi kitu gani Dunia inatutambua kwa kutusisngizia kama chetu lakini sio?

Viongozi wetu kama mtaliachia hili bila kusema chochote basi watanzania tumelogwa (huo ni mtazamo wangu).
Sasa unataka serikali ya Kenya ikanushe vipi? Tatizo ni la wao?. Sisi hatuna haja na mlima Kilimanjaro
 
C sawa.png

Je sisi kama watanzania tumechukua jukumu gani la kuutangaza mlima Kilimanjaro ili kuepukana kadhia iliyoko hapo juu? Ama tumelala usingizi.

Haiwezekani wengine wanatumia rasilimali zetu kujinufaisha na sisi tupotupo tu. Ni kama kusema watalii waje wasije sisi tutasonga mbele.
Hebu serikali ilichukulie hatua za haraka na makusudi suala hili.
JRO at KE.jpg
 
Watendaji wetu hawasomagi hizi, wanaweza chukua hata mwezi mzima hawajarespond.
Hii ilitakiwa iwe imeshakemewa kwa kelele za hali ya juu.
Imagine mpo kwenye umati wa watu hawafu MC anamtambulisha wife wako kwamba ni mke wa mtu mwingine[emoji4]??????
 
Back
Top Bottom