SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,117
- 7,796
According to the Associated Press, "A South African trying to summit Kenya's Mt Kilimanjaro...has died". First and foremost, condolences to the South African family.
Second, let there be no confusion that the deceased died in Tanzania.
And last, we Tanzanians and Africans as a whole demand retraction and apology from Cara Anna of the Associated Press for misleading the world as to the actual country where Mt Kilimanjaro is located.
CARA ANNA... #GetYourFactsRight
Naomba tuamke watanzania katika hili.
Binafsi sijapendezwa hata kidogo. Mimi sikuwai kufuatilia hizi habari japo zilivuma sana lakini hili gazeti limenitisha kidogo, wakuu wa nchi ni vizuri kupitia na kufanya kazi.
Kama mambo yenyewe kabla ya huo muunganiko (Jumuiya ya Afrika Mashariki) ni hivi.. vipi kama tukiungana?
Mhe. Rais naomba ulichungulie hili swala kwa ukaribu (kikulacho ki nguoni mwako)
Maswali ya msingi kwa watanzania;
1. Kwanini taarifa iseme Kenyan mount?
2. Je, serikali ya Kenya kwa habari kama hii lini iliwahi kukanusha?
3. Je, sisi kitu gani Dunia inatutambua kwa kutusisngizia kama chetu lakini sio?
Viongozi wetu kama mtaliachia hili bila kusema chochote basi watanzania tumelogwa (huo ni mtazamo wangu).