MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,116
Hata mimi nilikuwa najua mlima Kilimanjaro ni wa Kenya, yaani hili bandiko lako ndilo limenisaidia kujua kwamba mlima Kilimanjaro upo tanzania
hahaha mii sihangai chochote hapa..siku moja tupo schipol airport huko netherlands, tukaulizwa nyie wa wapi, tukasema tanzania, jamaa pale wakasema..aahh thats in kenya right?. Tukakenua tuu!..T.T.B hamuitangazi nchi nje..
Kweli lkn hata Kenya wanamiliki sehemu ya mlima huu.
Sijui kwanini hii nchi inaonewa hivi; Ziwa Nyasa (lote) liko Malawi; Mt. Kilimanjaro uko Kenya; The Serengeti ni extension ya Tsavo ambayo iko Kenya; 10-mile coastal strip ni mali ya Sultan (Oman/Zanzibar); ukitaka Tanzanite utaipata Kenya; Tanzania hairuhusiwi kutumia maji ya the Victoria - mikataba inakataza; Olduvai Gorge (inapoaminika binadamu wa kwanza aliishi) iko Kenya; Mto Kagera ndio mpaka halali wa Uganda na Tanzania (Idd Amin naye huyo).
Listi inaendelea; skeleton ya mnyama mkubwa zaidi kuwahi kuwepo duniani iko kwenye jumba la makumbusho Ujerumani ikiingizia nchi hiyo mamilioni ya dola kutokana na utalii. Skeleton hii iliibwa Tanganyika. Vyura wa Kihansi (Tanganyika) wamepelekwa Marekani. etc. etc. etc.
Kwanini wengine wanadai sehemu ya Tanganyika au resources za Tanganyika ni mali yao? Sina kumbukumbu ya kinyume chake - Tanganyika ku-claim maeneo au vitu vya nchi nyingine.
Na Ndege zote za Kenya airways wametupia chata ya '' Mount Kilimanjaro''.![]()
Naomba tuamke watanzania katika hili binafsi sijapendezwa hata kidogo Mimi sikuwai kufuatilia hizi habari japo zilivuma sana lakini hili gazeti limenitisha kidogo, wakuu wa nchi ni vizuri kupitia na kufanya kazi.
Kama mambo yenyewe kabla ya huo muunganiko ni hivi..vipi kama tukiungana?
Mh. Rais naomba ulichungulie hili swala kwa ukaribu (kikulacho ki nguoni mwako)
Maswali ya msingi kwa watanzania;
1. Kwanini taarifa iseme Kenyan mount?
2. Je serikali ya Kenya kwa habari kama hii lini iliwahi kukanusha?
3. Je sisi kitu gani Dunia inatutambua kwa kutusisngizia kama chetu lakini sio?
Viongozi wetu kama mtaliachia hili bila kusema chochote basi watanzania tumelogwa (huo ni mtazamo wangu)
Hivi ni kwa nini hapa huwa tunawalaumu wakenya badala ya kuwacheka hao wazungu kwa kutokujua Jiografia!![]()
Naomba tuamke watanzania katika hili binafsi sijapendezwa hata kidogo Mimi sikuwai kufuatilia hizi habari japo zilivuma sana lakini hili gazeti limenitisha kidogo, wakuu wa nchi ni vizuri kupitia na kufanya kazi.
Kama mambo yenyewe kabla ya huo muunganiko ni hivi..vipi kama tukiungana?
Mh. Rais naomba ulichungulie hili swala kwa ukaribu (kikulacho ki nguoni mwako)
Maswali ya msingi kwa watanzania;
1. Kwanini taarifa iseme Kenyan mount?
2. Je serikali ya Kenya kwa habari kama hii lini iliwahi kukanusha?
3. Je sisi kitu gani Dunia inatutambua kwa kutusisngizia kama chetu lakini sio?
Viongozi wetu kama mtaliachia hili bila kusema chochote basi watanzania tumelogwa (huo ni mtazamo wangu)
Wacha utotoUtalii sio kipaumbele chetu. Na hao watalii hata wasije.
Tunajenga viwanda kwa sasa. Hatutaki usumbufu.
Huyu Mkenya sijui anataka nini, yaani anapotosha kwa makusudi kabisa, Waziri wa Utalii inabidi aandikie barua Associated Press. Kama hawezi mwambie anipe barua yenye letterhead ya Wizara mimi nitaandika
Jamaa amesema hataki watalii. Kwahiyo kuwekeza huko ni kazi bure.
According to the Associated Press..."A South African trying to summit Kenya's Mt Kilimanjaro...has died"
First and foremost, condolesence to the South African family.
Second, let there be no confusion that the deceased died in Tanzania.
And last, we Tanzanians and Africans as a whole demand retraction and apology from Cara Anna of the Associated Press for misleading the world as to the actual country where Mt Kilimanjaro is located.
CARA ANNA....