Dunia inajua mlima Kilimanjaro upo Kenya

Dunia inajua mlima Kilimanjaro upo Kenya

hahaha mii sihangai chochote hapa..siku moja tupo schipol airport huko netherlands, tukaulizwa nyie wa wapi, tukasema tanzania, jamaa pale wakasema..aahh thats in kenya right?. Tukakenua tuu!..T.T.B hamuitangazi nchi nje..
Ungemjibu "No, Tanzania is an independent country bigger than Kenya geographically. Do you guys learn geography in your schools? "
 
Hii ni too much...

Na VAT tuliyoweka kwenye utalii ndo itakuwa balaa tupu...Manyang'au yatatumia kama loop hohle ya kuhujum sekta ya utalii ya Tz
 
Attorney General alishasema kwani tuna hati-miliki ya neno Kilimanjaro? Waache wakenya wajinafas na mlima wetu!
 
Sijui kwanini hii nchi inaonewa hivi; Ziwa Nyasa (lote) liko Malawi; Mt. Kilimanjaro uko Kenya; The Serengeti ni extension ya Tsavo ambayo iko Kenya; 10-mile coastal strip ni mali ya Sultan (Oman/Zanzibar); ukitaka Tanzanite utaipata Kenya; Tanzania hairuhusiwi kutumia maji ya the Victoria - mikataba inakataza; Olduvai Gorge (inapoaminika binadamu wa kwanza aliishi) iko Kenya; Mto Kagera ndio mpaka halali wa Uganda na Tanzania (Idd Amin naye huyo).

Listi inaendelea; skeleton ya mnyama mkubwa zaidi kuwahi kuwepo duniani iko kwenye jumba la makumbusho Ujerumani ikiingizia nchi hiyo mamilioni ya dola kutokana na utalii. Skeleton hii iliibwa Tanganyika. Vyura wa Kihansi (Tanganyika) wamepelekwa Marekani. etc. etc. etc.

Kwanini wengine wanadai sehemu ya Tanganyika au resources za Tanganyika ni mali yao? Sina kumbukumbu ya kinyume chake - Tanganyika ku-claim maeneo au vitu vya nchi nyingine.
Hata sijaona tulipoonewa, tunajionea wenyewe, tuko bize na vitu visivyo na tija, sasa kwa nini wengine wasitumie opportunities?
 
Caraanna2016-07-19.png
[

CARA ANNA... #GetYourFactsRight

2168671d3d7f1f4733ca6d0fa7c90738.jpg

Naomba tuamke watanzania katika hili.

Binafsi sijapendezwa hata kidogo. Mimi sikuwai kufuatilia hizi habari japo zilivuma sana lakini hili gazeti limenitisha kidogo, wakuu wa nchi ni vizuri kupitia na kufanya kazi.

Kama mambo yenyewe kabla ya huo muunganiko (Jumuiya ya Afrika Mashariki) ni hivi.. vipi kama tukiungana?

Mhe. Rais naomba ulichungulie hili swala kwa ukaribu (kikulacho ki nguoni mwako)

Maswali ya msingi kwa watanzania;

1. Kwanini taarifa iseme Kenyan mount?
2. Je, serikali ya Kenya kwa habari kama hii lini iliwahi kukanusha?
3. Je, sisi kitu gani Dunia inatutambua kwa kutusisngizia kama chetu lakini sio?

Viongozi wetu kama mtaliachia hili bila kusema chochote basi watanzania tumelogwa (huo ni mtazamo wangu).[/QUOTE]

According to the Associated Press, "A South African trying to summit Kenya's Mt Kilimanjaro...has died". First and foremost, condolences to the South African family.

Second, let there be no confusion that the deceased died in Tanzania.

And last, we Tanzanians and Africans as a whole demand retraction and apology from Cara Anna of the Associated Press for misleading the world as to the actual country where Mt Kilimanjaro is located.

CARA ANNA... #GetYourFactsRight

2168671d3d7f1f4733ca6d0fa7c90738.jpg

Naomba tuamke watanzania katika hili.

Binafsi sijapendezwa hata kidogo. Mimi sikuwai kufuatilia hizi habari japo zilivuma sana lakini hili gazeti limenitisha kidogo, wakuu wa nchi ni vizuri kupitia na kufanya kazi.

Kama mambo yenyewe kabla ya huo muunganiko (Jumuiya ya Afrika Mashariki) ni hivi.. vipi kama tukiungana?

Mhe. Rais naomba ulichungulie hili swala kwa ukaribu (kikulacho ki nguoni mwako)

Maswali ya msingi kwa watanzania;

1. Kwanini taarifa iseme Kenyan mount?
2. Je, serikali ya Kenya kwa habari kama hii lini iliwahi kukanusha?
3. Je, sisi kitu gani Dunia inatutambua kwa kutusisngizia kama chetu lakini sio?

Viongozi wetu kama mtaliachia hili bila kusema chochote basi watanzania tumelogwa (huo ni mtazamo wangu).
 
Kuna jamaa flan mkenya ,hapa mtaani kwetu jamaa akikaribia kupiga bao anapiga makelele sana utasikia" baby nakojoa... Nakojoa... Nakojoaaaaa" sasa Siku tukamvizia kwa dirishani wakati wanagegedana jamaa akaanza "nakujoa... Nakojoa ..nakojoa jamaa mmoja akapayuka kwa sauti kubwa tena nzito "kunyaa... Kunyaa kunya kabisa ....dah mtaa mzima ulujua na jamaa hawakukaa mwezi wakarudi kenya bungoma hukoo..
 
Nasikia watalii wengine huenda kenya kuuona mlima kilimanjaro,labda huyo marehemu aliupandia hukohuko kenya
 
Poleni sana! Best of both worlds. Enjoying Mt Kilimanjaro without setting foot in Tanzania. Mzungu mwerevu anafika Amboseli anafurahia kuona wanyama na Mt Kilimanjaro bila kulipa VAT na kupambana na Utanzania.
PmrjOBG.png
 
Wanaishia kunawa si ndio ? Hata hapa wapo wanaishia kunawa tu, tatizo sio hilo, JE KILIMANJARO IPO TZ AU KE ? HILO HAPO SWALI LA MSINGI , la kuonekana hapa halina mashiko !!! [emoji15]
 
Wanaishia kunawa si ndio ? Hata hapa wapo wanaishia kunawa tu, tatizo sio hilo, JE KILIMANJARO IPO TZ AU KE ? HILO HAPO SWALI LA MSINGI , la kuonekana hapa halina mashiko !!! [emoji15]
Mlima upo ndani ya TZ. Uzuri wake Kenya.
 
View yake ipo Kenya ila kupanda uje Tanzania. Inawezekana wanaona picha nzuri zilizopigwa Kenya. Kenya inajitangaza vizuri kiutalii.
 
Naamini Wizara husika watalisemea hili, imekuwa ni desturi kwa wakenya kudai mlima kilimanjaro upo kenya. Nadhani ifike mahali hatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya gazeti husika na mwandishi aliyeandika habari hii. Kuendelea kuwaangalia tu bila kufanya lolote itatafsiriwa kuwa wanaogopwa. Nasisi wa tanzania tuache unafiki wa kubeza kila kitu kutokana na mapenzi ya vyama. Linapofika suala la nchi yetu sote tuwe kitu kimoja kupigania nchi yetu
 
Tena sio tu awaamdikie barua adai defamation y billions as compasation kwa Tanzania ndio waweze koma kukosea kwa makusidi.

Yani file case haraka sana na Kenya ije mahakamani ikane na magazeti yaandike.
 
Back
Top Bottom