mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,251
Dunia iliambiwa Na nani? Je watanzania hawakuwepo wakati dunia inaambiwa?
Twiga Zeruzeru ni wakenya, alafu Mji wa Arusha hupo kenya aisee wakenya hatare, mpaka tuje kujielewa tutakuwa tumekwishaSijui kwanini hii nchi inaonewa hivi; Ziwa Nyasa (lote) liko Malawi; Mt. Kilimanjaro uko Kenya; The Serengeti ni extension ya Tsavo ambayo iko Kenya; 10-mile coastal strip ni mali ya Sultan (Oman/Zanzibar); ukitaka Tanzanite utaipata Kenya; Tanzania hairuhusiwi kutumia maji ya the Victoria - mikataba inakataza; Olduvai Gorge (inapoaminika binadamu wa kwanza aliishi) iko Kenya; Mto Kagera ndio mpaka halali wa Uganda na Tanzania (Idd Amin naye huyo).
Listi inaendelea; skeleton ya mnyama mkubwa zaidi kuwahi kuwepo duniani iko kwenye jumba la makumbusho Ujerumani ikiingizia nchi hiyo mamilioni ya dola kutokana na utalii. Skeleton hii iliibwa Tanganyika. Vyura wa Kihansi (Tanganyika) wamepelekwa Marekani. etc. etc. etc.
Kwanini wengine wanadai sehemu ya Tanganyika au resources za Tanganyika ni mali yao? Sina kumbukumbu ya kinyume chake - Tanganyika ku-claim maeneo au vitu vya nchi nyingine.
Duh! Hii itaenda hadi majumbani mwetu halafu itakuwa hatari!!Ikiwa mwenyewe mali haithamini sio vibaya jirani kuonesha samani yake. Na kujiinua kimaisha kwenye nchi yake.
Mbona majumbani mwetu yapo zamani sana tu mkuu. Siri nyengine sio rahisi kuzijua mpaka ufuatilie ndio utagundua.Duh! Hii itaenda hadi majumbani mwetu halafu itakuwa hatari!!
Mbona majumbani mwetu yapo zamani sana tu mkuu. Siri nyengine sio rahisi kuzijua mpaka ufuatilie ndio utagundua.