KWEZISHO
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,519
- 6,524
Tanzania imekuwa na mikakati mingi ya kutangaza vivutio vya utalii huku pesa nyingi zikitumika, ila jambo la kushangaza bado sekata hii haijatangazika ipasavyo nje ya Tanzania. Hapa tunapaswa kujiuliza ni kipi kinasababisha vivutio vya utalii vikose mvuto ilihali bado mataifa ya nje yanaendelea kujitangaza kwa kutumia vivutio vyetu? Au tunatumia njia mbovu za kujitangaza? Au wahusika wa hiyo sekta hawawajibiki ipasavyo? Ukiangalia hapo chini utaona jinsi mapesa yalivyotumika
Waziri Nyalandu atanua na Aunty Ezekiel Marekani kwa fedha za Wizara ya Utalii
Serikali yatenga Bilioni 2.7 kutangaza utalii ndani na nje ya nchi - DEWJIBLOG
Bi. Flaviana Matata Ateuliwa Kuwa Balozi wa Kutangaza Utalii wa Tanzania Nje ya Nchi. | Ministry of Natural Resources and Tourism
Vanessa Mdee aahidi kutangaza utalii wa Tanzania | lukwangule entertainment
BODI YA UTALII TANZANIA YAZINDUA MKAKATI WA KUTANGAZA UTALII KIMATAIFA - HARAKATI ZA MTANZANIA