Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 10,602
- 14,827
we si umeona mtoa mada vitabu tu alivyosoma kashavicha na anasema ni vya hatari, ila anataka tusikilize story yake na kuikubali š¤£Kwahiyo hizi kafara, misukule, mali za kitajiri, kusababisha uchizi kwa watu na malimbwata ni vitu vya uongo? Mbona vina matokeo na tunaona watu wakivipitia..
story za uchawi ni kama za chuma ulete ambavyo hazifanyi kazi benki mkuu