Kwanini iwe abstract thinkingHujaelewa neno kidhahania, abstract.
Kufikiri nje ya box la kilichopo na kuweka dunia ambayo ingewezekana kuwapo.
Kwamba, dunia ingekuwa unapata nafasi ya kuchagua uzaliwe au usizaliwe, kabla ya kuzaliwa, mtoa mada asingechagua kuzaliwa.
Sasa mbona unalazimisha kufikiri ndani ya box la dunia iliyopo wakati ushaambiwa kuwa hii ni hoja ya kidhahania, abstract, ya kuangalia dunia ambayo ingewezekana kuwapo ambayo ni tofauti na hii?
Huelewi abstract thinking ni nini?
Kama ingekiwa HIVYO tufanye pia abstract thinking nani angekuwa anatoa option hizo au mikataba hiyo
Lengo ni kujitenga na wanadamu hiyo NDO SABABU yake jiulize kwani Dunia hii WANAOOSHI wanadamu TU? Kwani haiwezi kwenda mbali na wanadamu