Dunia imejaa watu waongo

Dunia imejaa watu waongo

Mungu yupo aisee amini nakuambia hilo nimelithibitisha kabisaa.
Tunaomba huo uthibitisho mkuu na sisi tujionee Kwa macho yetu!
Biblia kama kitabu kitakatifu nimefuatilia nimeona masimulizi yote yaliyomo ndani yake yamekopiwa kwenye hadithi mbali mbali za zamani na wanadamu wakasema ni maneno matakatifu ya Mungu.

Ukisoma The Epic of Gilgamesh utaona masimulizi mengi ya huko ndiyo yamewekwa ndani ya biblia (Maandishi ya Gilgamesh ni makongwe zaidi ya Biblia)

Mfano pia huyu Mussa wa kwenye Biblia hakuna Ushahidi wa kuthibitishika 100% kwamba alikuwepo kweli miaka hiyo,
Sana Sana Kuna mtawala mmoja anaitwa Sargon the Great ambaye Kuna uthibitisho wa Kila aina kwamba alikuwepo, aliawala n.k
Yote hayo ni kabla ya Musa, Historia ya Sargon the Great inafanana Sana na Musa wa kwenye Biblia, ukumbuke Sargon amekuwepo kabla ya hadithi za Musa.
 
Umesema Mungu yupo na ana watu wake hii nimeinzingatia sana
Kwahiyo Mungu ni mbaguzi 🤣 Kwanini awe na watu wake 🤣
Na mtajua vipi Hawa ni watu wa Mungu na Hawa siyo (chuki zinaanzia hapa)
Sisi wa Mungu, wale wa Shetani.

Hayo yote ni kama wanachofanya wenye itikadi Kali za kidinj, unamuona binadamu mwenzio hafai kuishi kisa siyo wa Imani Yako, ujinga mtupu
 
Education in Africa is scam
Religions systems is scam
Politics Motherfucker is scam
Marriage system is scam too

Yale MAISHA kabla ya ukoloni ndo yalikuwa maisha bora

Kulikuwa hakuna dini
Hakuna education system
Hakuna siasa za kijinga

N.k
Elimu ulikuwepo kabla ya ukoloni kaka Afrika.
Sema mifumo ya Elimu ya Sasa Afrika haitukomboi kwenye Ujinga / Umasikini.
Ila naunga mkono hoja ysko
 
By the way kweli watu waongo sana.

Ni kichefuchefu...

Mtu anabwabwaja tu they don't mean what they say.

Shetani alinitumia kibaraka wake mmoja mwaka huu Bwana wee nikafikiri MUNGU kamleta, kumbe ndo lilikuwa somo practical la 2 Wakorintho 11:14

"Wala hii si ajabu, kwa kuwa hata Shetani mwenyewe hujigeuza aonekane kama malaika wa nuru."

"Oohh nilipaswa kukuoa, oohh watoto wangu nataka uwe mama yao, ooh nataka niwe na mtu ninayempenda kweli...."

Very touching message nilii pin na kui save kwenye Google notes niwe naisoma kila siku.

Two months later:

"UNALAZAMISHIA HIYO MESSAGE KILA SIKU KUNIKUMBUSHA HIYO MESSAGE KWA TAARIFA YAKO HAYO MANENO YALI EXPIRE DADIKA 4 BAADA YA KUTUMA HIYO MESSAGE."

I'm not making this up.

Na muhusika ananisoma hapa LIVE.

Kwahiyo mkuu, nikufariji na maneno haya:

"Mpingeni, mkiwa thabiti katika imani, mkijua kwamba mateso kama hayo yanawapata ndugu zenu pote duniani."
1petro.5.9.NENO
 
Elimu ulikuwepo kabla ya ukoloni kaka Afrika.
Sema mifumo ya Elimu ya Sasa Afrika haitukomboi kwenye Ujinga / Umasikini.
Ila naunga mkono hoja ysko
😁😁😁 hakika mkuu
 
HULAZIMISHWI.

Hata wewe unaweza kuwa wake.
Kwanini Mungu anatoa vitisho kwamba atachoma moto ambao hawatakuwa Upande wake?
Kwanini atulazimishe tuwe wake wakati Hana msaada kwenye maisha yetu?

Sina hata shida ya kuwa mtu wake, nikiwa mtu wa watu inatosha kabisa.
 
Kwanini Mungu anatoa vitisho kwamba atachoma moto ambao hawatakuwa Upande wake? Kwanini atulazimishe tuwe wake wakati Hana msaada kwenye maisha yetu? Sina hata shida ya kuwa mtu wake, nikiwa mtu wa watu inatosha kabisa.

Sasa anatoa vitisho au anakutaarifu?

Kwani hii dunia ya nani?

Mwenye dunia yake kasema ambaye hataki kufuata sheria zake: kumpenda MUNGU mwenyewe na kupenda wenzio kama unavyojipenda ataondolewa.

Hiyo ni taarifa sio kitisho.

Pia lazima ulipe yote uliyofanya, sio unakuja duniani unakuta vitu vizuri vizuri, unaviharibu tu.

Unakuta binti za MUNGU kawaumba wamtumikie wewe unawageuza dampo la uchafu wako, halafu unataka uachwe burebure.

Unakuja duniani kuvurugavuruga tu na kutesa tu watu, Kukosesha haki za watu, kuonea watu, kuumiza watu.

UTALIPA. BY FIRE YOU WILL PAY.

Only that MUNGU wetu ni mwenye Rehema na ameshalipa kwa ajili yako ili uishi milele, kwa DAMU YA YESU utaishi.

Sijajua unataka msaada gani, usikute unataka mahela wakati kwenye Ufalme wa MUNGU hamna hela, mahela yote yatakuja kupigwa kiberiti, so wewe kuhisi hakusaidii ni kukosa hekima / akili.

MUNGU halazimishi mtu, huoni waovu wanavyopeta, ndo wanaongoza kufanikiwa humu duniani na MUNGU kawaacha!

We kama umeamua kumkataa haya, hao watu unaoona wana maana hawalingani kwa vyovyote kwa utukufu na yule aliyewaumba. Ni sawa na kuona robot ana akili kuliko bindamu aliyem program. Ukosefu wa hekima.
 
Kwanini Mungu aruhusu mbaya yatokee kwenye Dunia yake?
Yeye si mwenye uwezo wote na nguvu zote?
Kwanini akubali na aruhusu ushenzi utokee kwenye himaya yake?

Au Hana uwezo wote? Au
Hana Upendo na Nguvu zote kuzuia mabaya?

Duniani tunaishi Kwa kutegemeana sisi Kwa sisi, Kwa ufupi tunaishi Kwa kutegemea msaada wa mazingira.
Hakuna Mungu kwamba Yuko sehemu Fulani analinda Dunia na vitu vilivyomo.

Ukiwa mgonjwa, ukakosa matibabu ya madaktari au wataalamu wa afya, kinga zako zikawa dhaifu kupambana na ugomjwa wako, utakufa, Mungu hawezi kuja kukusaidia hata kukusogezea glasi ya maji.
 
Kwenye amri za MUNGU umevunja ngapi na kwanini MUNGU alikuacha ulipozivunja? Kwanini hakukufyekela mbali?
 
Kwenye amri za MUNGU umevunja ngapi na kwanini MUNGU alikuacha ulipozivunja? Kwanini hakukufyekela mbali?
Amri za Mungu? Ni zipi hizo mkuu?

Mungu hawezi kunifanya chochote mkuu, Mungu siyo kitu halisi.
Anayeweza kunifyekelea mbali ni watu kama nyie wenye itikadi Kali za kidini.
Unamuua binadamu mwenzio huku unasema Mungu ndiyo kasema.
Ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom