Dunia imechafuka

Dunia imechafuka

VEN Ken

Member
Joined
Nov 3, 2026
Posts
17
Reaction score
17
Dunia imechafuka: Ndugu wanajamii forum kiukwel dunia n uwanja wenye tamaduni ,itikadi ,hisia na tabia za Kila namna ,Leo utasikia nchi yetu au mataifa mengine n ugomvi wa kisiasa ,mara utasikia mauaji ,mara umalaya mara ushoga ase hii n hatari,,Kuna msemo unasema God made man ,Man made money,money made man mad,kiufup wanadam n pesa ndo zinatufanya machiz ,tubadilike kiukwel doh.
 
Dunia siku zote tangu karne ya kwanza ni nambi haya haya..Tutakufa na kuiacha watu wakiendeleza mambo hayo hayo ya hovyo
 
Dunia siku zote tangu karne ya kwanza ni nambi haya haya..Tutakufa na kuiacha watu wakiendeleza mambo hayo hayo ya hovyo
N kwel km usemavyo tang zaman ghasia ,uovu na Kila aina ya kelele zipo lakn sio kwamba hik kizaz n too much au n technology ndo inachangia taarifa kusambaa Kwa haraka? Nawza tu
 
Screenshot_20251217-065939~2.png
 
Hayo ni maoni yako na mtazamo. Ulimwengu upo pale pale, mambo yale yale hakuna jipya. Tulia soma mchezo, igiza katika nafasi yako na ufurahie maisha na pumzi yako kabla haijawa too late. Maisha ni maigizo na mchezo kama michezo mingine.
 
Duh n mtazamo kwel au n uhalisia ,kwamba dunia Ina aman ,Ina mtiririko wenye utulivu na furaha mh sidhan ase emb nieleweshe,inawezekanaje damu kumwagika ,inawezekanaje watu kutumikisha wengine isvyo sahihi Kwa maslah ya kiuchumi Yan how comes useme n mtazamo
 
Attachments

  • FB_IMG_1793810898792.jpg
    FB_IMG_1793810898792.jpg
    157.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom