Jamani huu ni msala ambao nimeingia yaani ninajuta.Kweli huyu binti nilimpenda saana mpaka tumefanya ngono kama wk tatu zimepita,jana kaja nakuniambia ana mimba na kweli mimba anayo lkn binti huyu ni mwanafunzi jamani naomba msaada nifanye je.
Husninyo natamani nikupe mimba ili nichague gerezaWakuu mpo kwenye jukwaa la utani. Endeleeni kutaniana.
Jamaa kakaa kando anawa-enjoy mnavyobwaka!mtoa mada hayupo serious naona watu wanatema cheche na hasira kibao.
na we subiri upewe mimba na wake huyo bint
ushuzi mtupu
yani amegundua amepata mimba in 3 weeks??
childish crap once more
angalia usipewe mimba wewe hahaha!Husninyo natamani nikupe mimba ili nichague gereza
Anza kuchagua gereza...[/Angeenda LILUNGU Mtwara, ingekuwa poa zaidi maana huko kilago ni bure kabisaa...!]
mtoa mada hayupo serious naona watu wanatema cheche na hasira kibao.
angalia usipewe mimba wewe hahaha!
hahahahahahaaaa mi nataka nichague gerezaangalia usipewe mimba wewe hahaha!
Husninyo natamani nikupe mimba ili nichague gereza
hata siumii ngo'nitakupa makonzi ya macho we dogo wewe.
Utamu ule wewe, uchungu ushirikishe jF.
Kweli unajitahidi kufikiri....
Nenda Sumbawanga waambie wazee waihamishie kwako.[/QUOTE]
teh teh hii kali,
ana umri na ni level gani? nafikiri ni under 18 so get prepared for raping case.