Duh msala nimempa mwanafunzi mimba

unaomba MSAADA.
Mi nakupa msaada wa jina la mtoto, akizaliwa wa kiume mwite MATESO.Akiwa wa kike SHIDA.
 
Jamani huu ni msala ambao nimeingia yaani ninajuta.Kweli huyu binti nilimpenda saana mpaka tumefanya ngono kama wk tatu zimepita,jana kaja nakuniambia ana mimba na kweli mimba anayo lkn binti huyu ni mwanafunzi jamani naomba msaada nifanye je.

kwanza hongera sana, maana kuna watu mpaka leo wanalia hawana watoto.

Pili, inabidi umuoe tu, hamna jinsi hapo, sio vizuri kama utamkimbia.
 
ni PM nikuelekeze dawa nzuri ya kutoa mimba changa kama hiyo bila kwere,nimefanya hvyo kwa kident cha form2 mwez ulopita kwa mafanikio makubwa.
 
Kama anadai umempa mimba halafu ndani ya wiki 3 basi siyo mimba yako...mwambie amtafute aliyempa na sio wewe.
 
Jamani huo ndo msaada,binti huyu ameingia mwaka wa tatu UDOM.Nashukuru kunitosa wana Jf.
 
Unafanya ngono bila kinga kweli we unacheza, ningekuwa hakimu ningekuhukuma kifungo na fimbo juu kwa ngono zembe
 
Utamu ule wewe, uchungu ushirikishe jF.
Kweli unajitahidi kufikiri....
Nenda Sumbawanga waambie wazee waihamishie kwako.[/QUOTE]

teh teh hii kali,
ana umri na ni level gani? nafikiri ni under 18 so get prepared for raping case.
 
andaa pampas za kutosha,nepi,baby show,andaa na fungu la kumsomesha academia/international school kwa vile mama yake ni dent,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom