Mashoga wanatumia nguvu kubwa kutetea mashoga wenzao.Kwenye ulimwengu wa jinsia kuna vinasaba huwatambulisha watu jinsia zao. Vinasaba hivyo ni kama
> Sauti
> Mavazi
> Umbo
> Tabia
> Urembo
Mwanamke mzuri anayejiamini hana makeke wala vipodozi vingi lakini akipita mahali na wengine kumi ataangaliwa ama kupewa alama za juu yeye.
Mwanamke asiyejiamini ni shughuli pevu. Kwanza vipodozi kama vyote, mikogo na maringo ndio usiseme, mjuaji yeye na mkamilifu yeye. Huyu akiwa mahali atalazimisha atambulike uwepo wake.
Kujadili watu na maisha yao pamoja na bifu za kijinga sio sifa ya mwanaume. Haya mambo tumezoea kuyaona kwa ndugu zetu wa jinsia pinzani. Unapoona mwanaume kila wakati ni mgomvimgomvi, mpenda sifa, mjuaji, mnyooshea wengine vidole, mchambaji basi tambua fika huyo kuna udhaifu anauficha na anaufidia kwa kufanya mambo kama hayo. Ana dalili ya vinasaba vya ushoga.
Godfrey ana tabia zote hizo; kupenda kulazimisha umaarufu kisanaa lakini pia kwa mambo yasiyomhusu. Ana mwili mkubwa lakini asilimia ya medulla imepishina njia na asilimia ya mwili.
Ameibuka kwa staili mpya ya kutaja wanaotuhumiwa kujihusisha na ushoga. Sasa hivi yuko mitandaoni. What a comeback!
Anatajataja tu watu na jamii bila kutafakari kwa makini inarindima na midundo yake bila kufahamu kuwa anajidhalilisha na anatumika. Akija kukwaa kisiki cha mpingo jamii hiyohiyo iliyokuwa ikimshangilia ndio hiyohiyo itakuwa ya kwanza kumnanga.
Asijisahau kuwa yeye ni mwanaume na akumbuke kama mwanaume anapaswa kufanya nini na sio kupayukapayuka tu.
Hizi ni dalili za kuwa ngangaripoa
mkuu naona unaendelea na ugwiji wako wa kukurupuka nakupanic sasa mambo ya bando na kupoteza muda yanatoka wapi?? au ndo akili maandishi ubongo ziro...??nina pata kitu katika nyuzi zote mkuu na katika uzi wako wa leo nimejifunza kukurupuka kitandani nakuanza kutoa hoja juu ya vitu nisivyovifahamu kwa undani.

JF is never boring... Kila mtu ni mjuzi hapa.. Hata wewe pia! My foot...! 

ningekuwa mkurupukaji usingeshawishika kubaki kwenye huu uzi... Onyesha kwa vitendo achana nao nyuzi ziko kibao mbona? Hivi unadhani kuniita mkurupukaji ndio uhalisia!? Don make funny of yourself dude...! Pambana na hali yakohakika hujielew sas unataka tuachane na uzi wako??kwa nin umeuweka hapa sasa?? chill man haya nimaandishi tu mzee ..?? kweli ufahama sio matako mpaka kila mtu awe nao..JF is never boring... Kila mtu ni mjuzi hapa.. Hata wewe pia! My foot...!
ningekuwa mkurupukaji usingeshawishika kubaki kwenye huu uzi... Onyesha kwa vitendo achana nao nyuzi ziko kibao mbona? Hivi unadhani kuniita mkurupukaji ndio uhalisia!? Don make funny of yourself dude...! Pambana na hali yako
Iko hivi ngoja nikueleweshe naona umeshaanza kupaniki... Zinaanzishwa nyuzi nyingi kila muda... Na members huchagua kuchangia tu uzi uliomvutia... Kama uzi haujakuvutia au kama unauona ni rubbish wala huhitaji kuumiza kichwa unaachana nao ili uokoe muda wako... Nadhani umenielewa sasa.... Ila kama uzi unauona ni rubbish still bado unakomaa nao hiyo ndio maana yanguhakika hujielew sas unataka tuachane na uzi wako??kwa nin umeuweka hapa sasa?? chill man haya nimaandishi tu mzee ..?? kweli ufahama sio matako mpaka kila mtu awe nao..
sawa mkuu..Iko hivi ngoja nikueleweshe naona umeshaanza kupaniki... Zinaanzishwa nyuzi nyingi kila muda... Na members huchagua kuchangia tu uzi uliomvutia... Kama uzi haujakuvutia au kama unauona ni rubbish wala huhitaji kuumiza kichwa unaachana nao ili uokoe muda wako... Nadhani umenielewa sasa.... Ila kama uzi unauona ni rubbish still bado unakomaa nao hiyo ndio maana yangu
ngoja niendelee kupata konyagiUnamjua dudu baya mkuu....?Kwenye ulimwengu wa jinsia kuna vinasaba huwatambulisha watu jinsia zao. Vinasaba hivyo ni kama
> Sauti
> Mavazi
> Umbo
> Tabia
> Urembo
Mwanamke mzuri anayejiamini hana makeke wala vipodozi vingi lakini akipita mahali na wengine kumi ataangaliwa ama kupewa alama za juu yeye.
Mwanamke asiyejiamini ni shughuli pevu. Kwanza vipodozi kama vyote, mikogo na maringo ndio usiseme, mjuaji yeye na mkamilifu yeye. Huyu akiwa mahali atalazimisha atambulike uwepo wake.
Kujadili watu na maisha yao pamoja na bifu za kijinga sio sifa ya mwanaume. Haya mambo tumezoea kuyaona kwa ndugu zetu wa jinsia pinzani. Unapoona mwanaume kila wakati ni mgomvimgomvi, mpenda sifa, mjuaji, mnyooshea wengine vidole, mchambaji basi tambua fika huyo kuna udhaifu anauficha na anaufidia kwa kufanya mambo kama hayo. Ana dalili ya vinasaba vya ushoga.
Godfrey ana tabia zote hizo; kupenda kulazimisha umaarufu kisanaa lakini pia kwa mambo yasiyomhusu. Ana mwili mkubwa lakini asilimia ya medulla imepishina njia na asilimia ya mwili.
Ameibuka kwa staili mpya ya kutaja wanaotuhumiwa kujihusisha na ushoga. Sasa hivi yuko mitandaoni. What a comeback!
Anatajataja tu watu na jamii bila kutafakari kwa makini inarindima na midundo yake bila kufahamu kuwa anajidhalilisha na anatumika. Akija kukwaa kisiki cha mpingo jamii hiyohiyo iliyokuwa ikimshangilia ndio hiyohiyo itakuwa ya kwanza kumnanga.
Asijisahau kuwa yeye ni mwanaume na akumbuke kama mwanaume anapaswa kufanya nini na sio kupayukapayuka tu.
Hizi ni dalili za kuwa ngangaripoa
Asante kwa kuweka kumbukumbu sawa....Mkuu nipo pamoja nawe,huyu jamaa anayeitwa dudubaya ukimfuatilia kwa umakini kabisa utagundua naye anajihusisha na ushoga kwa namna moja ama nyingine,nakumbuka ilishawahi kuja kesi moja clouds,mkewe kabisa alikuwa akilalamika jamaa anamlazimisha kufanya mapenz* kinyum* na maumb*le...!!
Mkuu achana nao huenda hawamjui vizuri huyu jamaa anayeitwa dudubaya,kuna kila dalili kwamba huyu jamaa naye analiwa..Nililitegemea hili lakini kumbuka hapa ni sehemu ya mijadala... Na nimeandika background ya mhusika tangu kitambo, ugomvi wake wa kila mara, vijembe na mipasho isiyoisha... Kama unafikiri kakurupuka tu kusemasema basi una safari ndefu...
Mkewe alienda mbali zaidi kwamba kuna siku alikuta chats za mapenzi za dudubaya na shoga fulani maarafu ambapo kwa wakati huo alikuwa tayari ni marehemu..Asante kwa kuweka kumbukumbu sawa....